Ushauri: Anakataa kukata ziwa baada ya dozi za chemo

prospilla

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2015
Posts
1,150
Reaction score
1,716
Habari wanajukwaa?

Mke wangu mwenye umri wa miaka 26 aligundulika ana saratani ya matiti akaanza kupatiwa dozi za chemotherapy, amepata mizunguko 8 na hatimaye uvimbe uliokuwepo kwenye ziwa umepotea kabisa.

Tangu anavyoanza tiba ya chemo madaktari walisema mwisho itabidi kuondoa ziwa kabisa ili kutoruhusu vimelea kujirudia tena. Ila mgonjwa hataki kuondoa ziwa.

Je hii inaweza kuja kuwa na hatari kiasi gani hapo mbeleni?
 
anakitamani kifo Huyo,
 
Soon Tutazika.

Oncology cancer Ina management 3..
Chemotherapy, Radiation, Surgery

Awe makini Tutazika.

Hasa ikiwa malignant
 
Ni mtu wa imani/dhehebu gani huyo mkeo?

Mara nyingi watu hushupaza shingo kwenye mazingira kama haya sababu ya imani zao halafu mambo yakiwa mabaya ndiyo wanakubali.
 
Mkiristo wa KKKT
 
Lands anaogopa kubaki na ziwa moja muonekano wake utaharibika.

Unajuwa mwanamke chuchu
 
Afuate Ushauri Wa Doctor
Kuna Ndugu Yangu Aliwahi KILIMANJARO CHRISTIAN MEDICAL CENTRE
Aliona Uvimbe Mdogo Kwenye Akapewa Kwa Miezi Kadhaa
Baadaye Akarudi Home

Akaambiwa Lazima Aende Ocean Road Cancer Institute Hospital
Akaenda Akapatiwa Mionzi Kwa Siku 13 Aliambiwa Bila Mionzi Kidonda Hakiponi

Sasa Hivi Yupo Sawa West KILIMANJARO
Masharti Asisogelee Moto Wakati Wa Kupika,
 
Habari wanajukwaa?

Mke wangu mwenye umri wa miaka 26 aligundulika ana saratani ya matiti akaanza kupatiwa dozi za chemotherapy, amepata mizunguko 8 na hatimaye uvimbe uliokuwepo kwenye ziwa umepotea kabisa.

Tangu anavyoanza tiba ya chemo madaktari walisema mwisho itabidi kuondoa ziwa kabisa ili kutoruhusu vimelea kujirudia tena. Ila mgonjwa hataki kuondoa ziwa.

Je hii inaweza kuja kuwa na hatari kiasi gani hapo mbeleni?
Mkuu kama ataweza hamna haja ya kukata ziwa lake atafute miziz ya maua flani hivi yanakuwa yanatoa maua ya rangi tofautitfauti kna meupe,pink,mekundu nk mashuleni mara nyingi yapo na ktk bustan hizi akichemsha yale kwa wki kama tatu ....4 anywe ktwa mara 3 af akacheki tena hospital

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom