Ushauri: Anadai kuwa namuumiza

Ushauri: Anadai kuwa namuumiza

Namna gani wakuu ..mim kijana enu naomben angalau kaushauri flani ivii. Nina geli frendi ambaye ni mwezi wa tatu huu sasa tuko penzini, kiasi flani iv nampenda ila siku za ivi karibuni amekuwa akilalama kuwa anapata maumivu kwa nyeti zake wakati wa tendo. Sasa jana asubuhi me najiandaa zangu niingie class kanipigia simu kuwa katoka bafuni kuoga kajicheki nyetini kakuta kumetanuka; nikamwambia nikitoka class nitakuja nikucheki ...nmeenda mcheki nmekuta kaa alivonambia. So wakuu nifanyeje ili ni maintain nisimuumize tena mtoto wa watu? Em nsaidie aisee ...
Mkuu hiko kitu ni elastic cha muhimu uwe unamuandaa vya kutosha sio mambo ya mwendokas kama unakimbizwa ila ukiendelea na tabia yako hiyo ni sawa na unambaka na soon atakuacha, mapenz ni starehe na raha sio karaha na maumivu
 
Story ya Kutunga isiye na chembe ya ukweli.. Wakati mwingine maswali mengine Uliza Google ukitaka kujua mengi. Usipoteze Muda kutafuta namna ya KUTENGENEZA comment nying jamii forum
 
Jinga kabisa aliyeleta huu uzi,baba ako anahangaika kukutafutia ada ww unawaza mambo ya wakubwa wakat umri bado.kumbe ndio maana wasom weng wa kibongo ni pumba tupu,badala ya kukazana na kitab ww unahangaika na papuchi,ole wako
 
Namna gani wakuu ..mim kijana enu naomben angalau kaushauri flani ivii. Nina geli frendi ambaye ni mwezi wa tatu huu sasa tuko penzini, kiasi flani iv nampenda ila siku za ivi karibuni amekuwa akilalama kuwa anapata maumivu kwa nyeti zake wakati wa tendo. Sasa jana asubuhi me najiandaa zangu niingie class kanipigia simu kuwa katoka bafuni kuoga kajicheki nyetini kakuta kumetanuka; nikamwambia nikitoka class nitakuja nikucheki ...nmeenda mcheki nmekuta kaa alivonambia. So wakuu nifanyeje ili ni maintain nisimuumize tena mtoto wa watu? Em nsaidie aisee ...
Oa
 
Back
Top Bottom