i-77
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 729
- 828
Yake angalia kwenye avatar mkuu ila tungepata na ka supporting evidence ka aliyetanuliwa story ingenoga.......ndukiiiiipicha ikwapi

Yake angalia kwenye avatar mkuu ila tungepata na ka supporting evidence ka aliyetanuliwa story ingenoga.......ndukiiiiipicha ikwapi

Jaribu kuwa unafanya taratibu huenda anaweza kuzoea na kupelekea hali hiyo kuisha.Daah ko nfanyeje sasa mkuu wangu ..kama wee ungefanya nin anii
Hapana mdada usilete utani mim nko siriaz kweli.Hakikisha hili tangazo lako unalilipia
Bro sijatunga sasa nitatunga ili iweje sasa? Wee niambie nin cha kufanya mkuu.Dogo soma achana na mapenzi
Pia acha kutunga tunga story