USHAURI:ana mapenzi ya kweli au ananipetezea muda

USHAURI:ana mapenzi ya kweli au ananipetezea muda

hapo namaanisha atafute kazi aanze maisha mapya bila shaka hata huyo mwanaume atamuonea wivu na karoho katamuuma tu briibrii nadhan umenipata
 
hapo namaanisha atafute kazi aanze maisha mapya bila shaka hata huyo mwanaume atamuonea wivu na karoho katamuuma tu briibrii nadhan umenipata

asante sanaaa MankaM na briibrii,ntaufanyia kazi ushauri wenu wapendwa.
 
Ningekua bongo...ningekutafuta nikusaidie inasikitisha kweli...ila sisi wakati mwingine hukosa msimamo kabisa dah
 
be self reliant everything will be alright dear
 
Back
Top Bottom