prettydiva
Senior Member
- Feb 19, 2014
- 101
- 39
- Thread starter
- #21
Aisee! Fanya hivi kaa kimya wiki nzima kuanzia leo! Yani usibip, tafadhali nipgie wala text,utapata jibu baada ya hapo fanya uamuzi mgumu!!
asante ntafanya hvyo...unajua kuna wa2 wanapendwa sana ila hawathamn mapenz wanayopewa,ana miaka karbu 32 nkajua atatulia kumbe napoteza muda..daaah