Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,118
- 165,390
Chapa lapa achana na hicho kibushuti.....
Kama unawaza kama kiswahili ulichotumia hapa ni wazi umemboa jamaa akaamua kutafuta mwenzio mwenye mawazo mazuri. Maandishi yako yanaonyesha wewe ni sistaduu wa kitaa na inawezekana jamaa anataka mke hivyo alipokupimia amegundua hamuivi chungu kimoja,...... vuta pumza utapata brazameni wako msongeshe maisha.Mamboz wadau.....mimi ni binti wa miaka 25,nna mpnz ambaye tuna mwaka sasa lakn mwanzo wa uhusiano wetu alionyesha kunijali sana simu kla dk,txt,zawad nk.Mwaka jana mwez wa 8 akaanza kubadilka yte alyokuwa akinifanyia hakuna tena,yy ni mwajiriwa n mm nw cna kazi baada ya ofis nlkuwa nafanya mkataba kuisha,so nmekuwa nkimuomba hata sh 20,000 anasema hana hata vocha ya 500 hanip na kupga hadi nianze mm,ss nmechoka nahs tukiingia kwny ndoa hatanisaidia.Jana nmepga cm yke kuanzia sa5-6 uck ipo busy,ksho yke namuulza eti anasema ina matatzo..nishaurin jaman kuna future au nimuache tu,plzz.
nmeshamueleza mara nyng sana,na kla cku nljua atabadilka ili maisha yaende na hatimaye tuje kuwa na familia ila hakuna mabadiliko...nashukru sana kwa ushauri
Kama unawaza kama kiswahili ulichotumia hapa ni wazi umemboa jamaa akaamua kutafuta mwenzio mwenye mawazo mazuri. Maandishi yako yanaonyesha wewe ni sistaduu wa kitaa na inawezekana jamaa anataka mke hivyo alipokupimia amegundua hamuivi chungu kimoja,...... vuta pumza utapata brazameni wako msongeshe maisha.
Kama unawaza kama kiswahili ulichotumia hapa ni wazi umemboa jamaa akaamua kutafuta mwenzio mwenye mawazo mazuri. Maandishi yako yanaonyesha wewe ni sistaduu wa kitaa na inawezekana jamaa anataka mke hivyo alipokupimia amegundua hamuivi chungu kimoja,...... vuta pumza utapata brazameni wako msongeshe maisha.
nenda jukwaa la lugha...mbona ameeleweka binti wa watu!
tatizo ya haya mapenzi hayashauriki tunaweza tukakushauri hapa ufanye mamuzi magumu mwisho wa siku akikupiga sound 2,3 anyway fuata ushauri wa @mnukari na wewe mpotezee kama kawiki usipoona hafanyi suspicious yoyote juu yako jua huna chako hapo.
Chapa lapa achana na hicho kibushuti.....
pamoja.usisahau kuleta mrejesho iwe chanya au hasi...asante nashukuru ntafanya hvyo
asante mamie
pamoja.usisahau kuleta mrejesho iwe chanya au hasi...
nenda jukwaa la lugha...mbona ameeleweka binti wa watu!
sasa ulitaka niandike gazeti???nmetumia cmu ultaka yawe maneno kiasi gani...mm nahis hata kushauri hujui ndo maana umekimbilia kuangalia uandishi,thn umeelewa sana nilichoandika ndo maana umejibu..gud day
uschoelewa hapo wewe nn????kama hujaelewa acha,sio kla laznma thread uielewe.prettydiva Ebu jifunze kuunganisha maneno kamili kama ulivyofundishwa kipindi kile darasani, niwe muwazi sijakuelewa ulichoandika kabisa. Acha hivyo vifupisho vya maneno na sentensi iweke kamili, punguza papala.
uschoelewa hapo wewe nn????kama hujaelewa acha,sio kla laznma thread uielewe.
kwahyo akpata kaz heshma itarud.akfukuzwa majanga yaanze tena????aaaagh!!!s fair hyoHuyo alikuwa anakupenda kipind una kaz saiv ameona unamchosha kumwomba omba pesa hvyo anashndwa kukwambia amekuchoka anatafuta vijisababu akuache kwa kweli inaumiza bt wat u suppose to do is to find a work hii itarudisha heshma ndugu trush me fanya uwezavyo upate kaz