Yaani hapo sijui utafanyaje!
Ukiitunza utazaa laana na kuharibu ndoa ya mama ako mdogo. Ukiitoa utapata dhambi na kidonda cha milele. Chagua ufanyaje!
Ila unaeza kimbia na kuhamia sehemu mpaka utakapojifungua, yaani mtu asijue una mimba. Alafu mtoto mpeleke kituo cha kulelea yatima.