richaabra
JF-Expert Member
- Jul 12, 2016
- 1,472
- 3,535
Mpeni ushauri rafiki yangu, amepewa mimba na baba yake Mdogo. Yaani hapa alipo amechanganyikiwa. anaogopa kutoa ila anajiuliza afanyaje kwa maana wazazi wake wakijua kuwa ana mimba tena ya baba yake mdogo wazazi ake watamkata masikio kwa hasira.
..........kweli hii dunia ina mengi!