Ushauri: Amenuna, kisa nimenyoa huku

Heee kwa hiyo alitaka ubaki na kickaka basi makubwa sijui niseme wivu umezid au anaumwa.................... maana atakuwa si mzima kwakweli!

unaweza kukuta anayelala kanyoa kipara cha wembe
 
Afadhali mkuu umenifariji.
Kumbe mm sio wakwanza!!??

Eeeh mbona mpo wengi 2 wenye hayo majanga, but ingekuwa vizuri kama mngekuwa mmekubaliana hivyo toka mwanzo, anyway muombe msamaha afu uingie 2 kwny kufuga rasta kwi kwi kwi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Enzi za TANU na ASP haya mambo ya aina hii hayakuwepo kabisa! Maana ikithibitika bila shaka yoyote kwamba mtu mzima anaongea mambo ya kitoto ni bakora tu!
 
Mhhh haya mambo mengine upuuzi mtupu..pole sana!!!Sikudhania kama usafi ni jambo la kumkera mtu!!
 
 
bila shaka alikuwa anakutafutia sababu,yaani kweli na wewe umeshindwa kujiteteta kwenye kijambo kama hicho,napata feeling kwamba inawezejkana mlikuwa mmechokana ama hiyo ni immediate causual factor as kulikuwa kuna long term factor.
 
.....#Kapuku tu huyo, anataka yakujae kama Savimbi ndio aamini kulikuwa hakuna #tresspasers ?

Jiswafishe kijana, acha akae na #Gubu lake, asikufanye #Msukule bureee!

 
Ulimzoesha kuwa anakushave yeye?! Aisee haya mapenzi.com!!
 
inategemea na kabila,kuna kabila fulani huku niliko,mume anapotoka kisafari mwanamke haruhusiwa kunyoa mpaka mume atakaporudi hata kama ni mwaka mzima.
Nalog off
 
very dramatic bishh...either young enough, or stupid enough to even be wifed
 
ulijitetea?that means siyo kweli ama me ndo sijaelewa!
Mtu akikuchoka hata ukipumua mbele yake kwa mdomo atakwambia umejamba!
Sijaona sababu ya kununa apo unatafutiwa kosa tuu! Jiandae
 
Enzi za TANU na ASP haya mambo ya aina hii hayakuwepo kabisa! Maana ikithibitika bila shaka yoyote kwamba mtu mzima anaongea mambo ya kitoto ni bakora tu!

Be up to date and dont be out of date
 
ulijitetea?that means siyo kweli ama me ndo sijaelewa!
Mtu akikuchoka hata ukipumua mbele yake kwa mdomo atakwambia umejamba!
Sijaona sababu ya kununa apo unatafutiwa kosa tuu! Jiandae

Sawa mkuu, ngoja nitajiandaa kwa kutafuta spare tyre
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…