Ivi ulishaona mtu anavyofurahia sms au call ya mpenziwe? au wakati wa enzi zile tunatumiana barua zenye moyo na mkuki umepita katikati (japo sielewi lengo la ule mkuki hadi sasa). therefore ujumbe huo huwa wa maana tu kwa mlengwa lakini mtu mwingine ukiokota barua kama hiyo walioandikiana wapenzi, nadhani wewe utaona kama hawana akili timamu au pengine ni watoto wadogo, lakini pengine ni maprofesa hao.
Point yangu ni kuwa, hayo maneno yana- make sense only kwenu nyie wawili tu, by no means utegemee sisi tuelewe kama mlengwa hukuelewa....... ila pole Mkuu, Mapenzi bila reasoning ya maana yanakosa kitu cha muhimu sana.