bigboss1
JF-Expert Member
- Jul 24, 2015
- 319
- 196
Huu ni ukwelii.
Hamjamboo wakuu?
Nilikuwa na jamaa yangu aliniita kwake akaniibia hela nilipokuwa jikoni napika hiyo ndio naelewa. Kwa maana niliacha pochi sebuleni kwenye kochi yeye alikuwa anaangalia mpira.
Saa ya kuondoka akanipeleka kituo cha daladala akanipa hela kama nauli kupanda kwenye daladala nikaulizwa nauli ile tu nataka nitoe hela hakuna kwenye pochi kuangalia zile alizonipa zinaalama ya herufi ya ni ambayo nawekaga alama hela zangu zote.
Ukiangalia ni mtu mzima 40-45 ila ni mwizi.
Ukiangalia hajapungukiwa na vijisenti alivyovisogeza akidai kunipa kama nauli.
Kumuuliza ananiita malaya eti na msingizia nijipange maana naongea uongo.
Isitoshe hana hayo mambo. Nikaamua kumblock.
Miezi miwili kupita ananipigia na namba mpya turudiane eti amekosa yeye alikuwa kalogwa ni shetanii tu. Nikimrudia atanipeleka mahali nikaanze kazi, Nilikata simu nikawaza nikaona nije humu niombe ushauri maana nataka nimpeleke polisi siwezi kumuwazia mtu mwizi tapeli anaibia wanawake hela tena wadogo.
z
Ila kabla sijachukua uamuzi wowote nasubiri kwanza maoni yenu kama unaweza kunishauri nishauri ila kauli mbaya kweli sihitajii. Halii ni tete so nahitaji wastaarabu.
please.

Kwa nini msichana mdogo kama wewe unatembea na vibabu???Huoni huko ni kutudhalilisha sisi vijana???