Ushauri: Aliniibia sasa anataka turudiane, nataka kumpeleka Polisi

Ushauri: Aliniibia sasa anataka turudiane, nataka kumpeleka Polisi

1.Wewe ni boss kubwa na bado unapanda dala daka?
2. Wewe ni boss kubwa na bado unapokea misaada midogo midogo kama nauli ya dala dala?
3. Wewe ni boss kubwa na bado unalia lia kwa kuibiwa vijisenti?
TAFAKARI!
 
Asanteni ushauri sana ila nimecheka sana kwa baadhi ya ushauri zingine ila nimekubalii sita date tena mtu mzima nitakubali wa saizi yanguu .
Kazi njema nyoote mlionipa ushauri maana nyingii ni kwelii napia zimenifunzaa.
Njoo bac inbox kama umeamua uwe nacc waage yako
 
Napata picha umegongwa akachukua pesa yako akakufundisha matumizi yaani ulipie nauli ha ha ha
 
Achana na huyo mpumbavu. Tabia za bei rahisi kama kuiba kwenye pochi ya mwanamke ambae ni mpenzi wako, huwa ni dalili ya mapungufu mengi sana.
 
Mwanaume miaka 43 hajaoa wala kuoa na kuacha hafai hata kidogo kimbia haraka usigeuke bado ni mwizi
 
Back
Top Bottom