Ushauri: Aliniibia sasa anataka turudiane, nataka kumpeleka Polisi

Ushauri: Aliniibia sasa anataka turudiane, nataka kumpeleka Polisi

..usiweke Alama kwenye Hela,sio zako wewe dola itakushugulikia!!!
 
Na mimi nimeshindwa kuelewa hii story!!
Na nimeshangaa watu wameelewa na kuchangia!! Heading ndo imenivuruga kabisa!!
Yaani nakwambia ss wabongo no noumer !! Kama huyu ni mwanafunzi ( looks like) basi imagine !! Angalau subject ingekuwa mwizi !!
 
Ulienda kufanyaje kwake? na nikwanini unatembea na watu waliokuzidi umri?
 
Mpotezee tu! Mblock tena. Hana maana huyo
 
Sioni sababu yakumpeleka Police kua nae mbali pia ni police tosha,vitu kama hivyo visichukue time yako sana achana nae.. huyu ukifatana nae anaweza hata kukuuza au kukutia aibu sehemu yoyote.
 
Mijanaume mingine sijui ikoje! Mie kuna mwanaume alinitapeli elfu 60... Nikaachana nae. Eti karudi turudiane ila nikimkumbushia hela yangu anasema hajapata, akipata atanipa. Yaani sijui wanatuona mabwege kiasi hicho!?
 
Na mimi nimeshindwa kuelewa hii story!!
Na nimeshangaa watu wameelewa na kuchangia!! Heading ndo imenivuruga kabisa!!
Sasa ni hivi heading ni malaya yeye huyo jamaa aliniita malaya na kuniibia pesa upo?
 
Asanteni ushauri sana ila nimecheka sana kwa baadhi ya ushauri zingine ila nimekubalii sita date tena mtu mzima nitakubali wa saizi yanguu .
Kazi njema nyoote mlionipa ushauri maana nyingii ni kwelii napia zimenifunzaa.
 
Nashindwa ku connect dots ktk story yako. Jamaa yako, alikuita, ukawa unapika, 40-45yrs, kukupa nauli saa ya kuondoka, katika daladala unagundua hakuna hela ktk pochi, anaibia wanawaketena wadogo, unataka umpeleke polisi after two months nk ??
Ahsante kwa kuja,Hahahah kaitwa malaya lkn utafiti unaonyesha hajui nn maana ya hilo jina!
 
We endelea kufuga mwiz uone mazara yake, utakuja kukombwa Ata Ela zote kwenye atm
 
safari hii ataondoka na kitanda mpaka vijiko kama ana tabia ya kuja kwako, huyo ashindwi hata kukuua?
 
Back
Top Bottom