Wanajamii,
Naombeni ushauri nataka kumpeleka mwanangu kati ya shule hizi kuanza darasa la kwanza (grade 1) - Al Muntazir Boys Primary au St. Laurent Primary.
Ipi shule nzuri kati ya hizi mbili, au shule nyingine unayodhani ni nzuri kulingana na experience yako
Shukran