Prince Tumbo
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 910
- 247
Wengi suala la ndoa hulichukulia kiurahisi sana. Ni gumu na huathiri hata maisha yote yaliyobakia baada tu yakuingia kwenye ndoa. Ushauri wangu...wa kwanza hapo haipo ndoa ya furaha bali presha za kila siku. Wa pili nae hana busara anahasira ya mbogo, tupilia baharini....ngoja mmeo yupo. Achana na wanaume ambao tayari unaona hutapata amani. Unawahi nini?...unabahatisha?...nakutabiria kuwa hutajuta, utapata mme, usikimbilie maisha ya kujuta kila siku ambapo tayari una clues za tabia zao. Ninauzoefu wa miaka 18 kwenye ndoa, unaweza kuchagua wewe unataka maisha yako yafananeje kwenye ndoa yako,au unataka mwanaumme wa namna gani,ni ushauri wagu binafsi tu....