Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,142
- 26,132
Naona hiyo ndio njia muafaka ya kuondoa huu utata, iambieni serikali ipeleke kontena nje na ifuatilie hatua kwa hatua kisha ije iseme imeingiza kiasi gani. Baada ya hapo ipige hesabu kodi ni kiasi gani na ilinganishe na iliyikuwa ikilipwa kwa kuzingatia mkataba! Nadhani hii itamaliza utata uliopo wa nani msema kweli.
Hakuna mgodi wa dhahabu uliowahi kuzalisha zaidi ya tani 62 kwa mwaka!Kwa maana nyingine hakuna mgodi uliowahi kuuza dhahabu zaidi ya trilion 4.5 kwa mwaka!
Nina mashaka sana na taarifa ya Tume!
Hakuna mgodi wa dhahabu uliowahi kuzalisha zaidi ya tani 62 kwa mwaka!Kwa maana nyingine hakuna mgodi uliowahi kuuza dhahabu zaidi ya trilion 4.5 kwa mwaka!
Nina mashaka sana na taarifa ya Tume!