Ushaur wenu tafadhali sijui Ile Sku ilikuaje

Swenailie

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2016
Posts
240
Reaction score
230
Wanajamvi ushauri tafadhali,
Nilibrake na mtu miezi kadhaa uchungu niliokuwa nao ulikuwa mkubwa sana stuntman kuwa na uhusiano wowote. Mtu aliniacha yeye. Nilikuwa nalia hasubuhi na usku yan nikiamka nasali afu nikiwa nasali namwambia Mungu niko peke yangu ila nijalie furaha niishi nawe ikikupendeza utanipa mwenza. Hasubuhi na usku nikilala hata kama nimepitiwa usingiz naweza shituka nikajikuta nalia afu nasema Mungu we wajua.

Tangu huyo mpenz alivoniacha skuwahi kuwasiliana nae miezi yote hiyo. Sku moja nilikuwa nimelala nikashangaa usingiz umekata mida ya saa saba nikiwa na uchungu mwingi had nkalia najiuliza why ameniacha angali nampenda kosa langu lolote ameonaje siwezi kubadilika? Nililia sana angali nalia nkaanza kuandika meseji ndefu namuuliza why umeniacha Ni kweli madhaifu yangu umeshindwa kunibadilisha sababu kuu yakuniacha Ni nn? Naomba ujue nakupenda. Niliandika nikiwa nalia sana usku huo. Nikatuma. Nimekaa kidgo usingiz ukanipitia

Hasubuhi naamka nakuta jibu anasema tutazungumza mh nikajiuliza nn hiki naangalia meseji Niliandika mm kabisa., nikapumua kwa nguvu afu nkasali Nilisali huku nalia nasema Mungu sihitaji kuumia tena kama aliniacha afu nimemtafuta mm asinirudie kwa kunionea huruma kama si wangu asinirudie aende kabisa stak kuumia.

Nilipomaliza nilijiskia mwepesi ule uchungu wa miezi yote Ile haupo nkajishangaa. Haya Sku tuliyopanga tuonane tuongee akapata dharura tukaahirisha..

Hadi Leo hii naandika hapa hatujaonana ila tunaweza Onana next time

Sasa shida Ni kwamba siku Ile naandika vile kumsihi kama ninakosa anisamehe kama ninamapungufu aniambie nijirekebishe nilikuwa nauchungu naumia ila baada ya kusali najihis mzma sina uchungu tena sion kama ninauhitaji tena.

Afu najiona sistahili kurudiana nae tena sasa afu bado nawasiliana nae and perhaps anampango tuonane na mm huo mpango umepotea kabisa. Nifanyeje?

Ushaur tafadhali
 
Maisha ni furaha na maisha ni huzuni, enjoy Maisha jipe moyo, songa mbele sahau maumivu. Maumivu ya mapenzi ni maumivu ila usiyape muda yataharibu taswira yako yote ya maisha
 
Naomba uliza wakati mkiwa wapenzi tunda mlikuwa mnakula?
 
Inawezekana kitendo cha yeye kukujibu kuwa mtaongea kimekupa ahueni. Subiri akikupotezea kabisa tena, kama utaendelea kuwa poa jua umeshinda.
 
Cha msingi endelea kumuomba mungu azidi kukupa amani ndani ya moyo wako utajikuta umemsahau kabisa km roho yako ni nzito kurudiana naye na umemtoa moyon mwako basi achana naye usije juta tena baadae.
 
Wanajamvi ushauri tafadhali,
Nilibrake na mtu miezi kadhaa uchungu niliokuwa nao ulikuwa mkubwa sana stuntman kuwa na uhusiano wowote. Mtu aliniacha yeye. Nilikuwa nalia hasubuhi na usku yan nikiamka nasali afu nikiwa nasali namwambia Mungu niko peke yangu ila nijalie furaha niishi nawe ikikupendeza utanipa mwenza. Hasubuhi na usku nikilala hata kama nimepitiwa usingiz naweza shituka nikajikuta nalia afu nasema Mungu we wajua.

Tangu huyo mpenz alivoniacha skuwahi kuwasiliana nae miezi yote hiyo. Sku moja nilikuwa nimelala nikashangaa usingiz umekata mida ya saa saba nikiwa na uchungu mwingi had nkalia najiuliza why ameniacha angali nampenda kosa langu lolote ameonaje siwezi kubadilika? Nililia sana angali nalia nkaanza kuandika meseji ndefu namuuliza why umeniacha Ni kweli madhaifu yangu umeshindwa kunibadilisha sababu kuu yakuniacha Ni nn? Naomba ujue nakupenda. Niliandika nikiwa nalia sana usku huo. Nikatuma. Nimekaa kidgo usingiz ukanipitia

Hasubuhi naamka nakuta jibu anasema tutazungumza mh nikajiuliza nn hiki naangalia meseji Niliandika mm kabisa., nikapumua kwa nguvu afu nkasali Nilisali huku nalia nasema Mungu sihitaji kuumia tena kama aliniacha afu nimemtafuta mm asinirudie kwa kunionea huruma kama si wangu asinirudie aende kabisa stak kuumia.

Nilipomaliza nilijiskia mwepesi ule uchungu wa miezi yote Ile haupo nkajishangaa. Haya Sku tuliyopanga tuonane tuongee akapata dharura tukaahirisha..

Hadi Leo hii naandika hapa hatujaonana ila tunaweza Onana next time

Sasa shida Ni kwamba siku Ile naandika vile kumsihi kama ninakosa anisamehe kama ninamapungufu aniambie nijirekebishe nilikuwa nauchungu naumia ila baada ya kusali najihis mzma sina uchungu tena sion kama ninauhitaji tena.

Afu najiona sistahili kurudiana nae tena sasa afu bado nawasiliana nae and perhaps anampango tuonane na mm huo mpango umepotea kabisa. Nifanyeje?

Ushaur tafadhali
IKIPATIKANA SAMARI YAKE
TUTAARIFIANE FASTA.
 
Inawezekana kitendo cha yeye kukujibu kuwa mtaongea kimekupa ahueni. Subiri akikupotezea kabisa tena, kama utaendelea kuwa poa jua umeshinda.
Hahahaaha mm naona hata akinipotezea itakuwa ndo kanisaidia maana now akija ntajikutaa namwangalia tu atajiuliza huyu alilalamika mwenyewe afu now kawa hivi... Nataman apotezeee kweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom