Ushaur nifanyaje

Tofauti ya kiimani ina madhara sana kwenye ujenzi wa maisha ya ndo. Kuna mambo mazuri zaidi mbele yako..sahau yaliyopita na usonge mbele.
 
Hahahahhaa babe, nakupenda uniletee napicha picha,nakuvumilia tu badala ukue mwema unaendelea na kuzidisha ujinga ntakuacha nina moyo wa dam haupump maji
sikusoma hapa hebu nipite kimya meme
 
Once upon a time kabla akili hazijakomaa nilikuwa nasumbuliwa na mambo y kipuuzi kama hayo.

Nashukuru these days I dont give a damn about them.
 
Kijana omba mungu akupe WA kufanana na wewe. Huyo mwenzio unasema hujafanya nae ngono lakini kimsingi Huyo alikuwa Malaya WA kienyeji, so alikuwa anakuzuga tu coz alikuwa na kajamaa kakuukosha moo wake. Kwa wewe alikuwa anakuona kama nyuki WA kantini

Sent from my itel it1409 using JamiiForums mobile app
 
Inaonekana ulikutana nae ukiwa na umri21 yani umekaa na demu miaka mi3 bila ata kumpiga kiss? Ukiendelea kumfuatilia utaambulia manyoa.

Tuliza akili dogo,kuna mengi mazuri yatakupita kama utawaz ndoa na umri huo!
 
Fanya yako mkuu..huko kupenda naona ni wewe tu unajifanyisha..watu tushapigwa vibuti na watoto wakali hatari tuliokuwa tunawaelewa but lives goes on kama kawa
asante sana mkuu
 
AF unajiita snaype, sniper gani unakaa na demu miaka 3 ujawai ata kumleanga[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Tofauti ya kiimani ina madhara sana kwenye ujenzi wa maisha ya ndo. Kuna mambo mazuri zaidi mbele yako..sahau yaliyopita na usonge mbele.
asante sana demi, unanipa nguvu kusonga mbele
 
Once upon a time kabla akili hazijakomaa nilikuwa nasumbuliwa na mambo y kipuuzi kama hayo.

Nashukuru these days I dont give a damn about them.
nipe siri ya mafanikio yako mkuu
 
Inaonekana ulikutana nae ukiwa na umri21 yani umekaa na demu miaka mi3 bila ata kumpiga kiss? Ukiendelea kumfuatilia utaambulia manyoa.

Tuliza akili dogo,kuna mengi mazuri yatakupita kama utawaz ndoa na umri huo!
for sure harder King
 
Sasa kama mtu ww humtombi unakuwa na faida gani kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…