Kuna jamaa,yuko kwenye mahusiano na binti mmoja wamezaa na mtoto wanaishi pa1.
Mwanamke wake waliyezaa nae ana mtoto mwingne tayar alizaa kitambo huko kabla hajakutana na mwana ,hata baba hajulikani enewei
Huyu dada ana mapungufu meng according to jamaa,controling,ukali,wivu na mambo meeng siwez orodhesha hapa kias kwamba hakuna amani ndan ya nyumba.kuna muda had anamtimua mwana usiku usiku,mwana hanywi pombe wala sigara na anarud kwa wakat home,changamoto ni kwamba bibie ni mkali sana na anataka vitu anavyotaka yeye tuu
Mwana akawa anachoka akajikuta ameanzisha mahusiano na mwanamke mwingne angalau akawa anapata faraja,sasa wana miez kama 8 na huyu mwanamke mwingne na mapenz ni ya moto kwelkwel ingawa sasa huyu mchepuko ingawa anajua story yote ya mwana ,alikubal kuwa na mwana hvyo hvyo
Ila sasa mchepuko nae anataka attention,yaan anademand mwana awe naye 100%,na wanagombana na mwana sabab mwana hayuko 100% sabab kule kwingne ana mtoto ,na mchepuko hilo jambo linampa wivu hatar.hata mwana akienda mwona mtoto wake,au kupigiwa simu na baby mama wake mchepuko anakasirika sana.,na mwana anampenda sana mchepuko kwa sasa....
Sasa ni hivi mchepuko katishia kumuacha mwana kama hali utaendelea hvyo,so mwana anaomba ushaur wenu,..kumbuka mwana alitimuliwa kitambo na bebi mama wake now anaish mtaan tu..ila mchepuko nae katishia kumpiga chini mwana kama ataendelea kutompa muda na kuachana kabisa na bebi mama wake...
Mwana afanyeje
Nawasilisha kwa niaba