Ushauli kwa watoto wanao enda shule

Ushauli kwa watoto wanao enda shule

Point less

Senior Member
Joined
Jun 24, 2020
Posts
194
Reaction score
98
Jamani tu wape watoto wetu,marafiki zetu,wadogo zetu, mawaidha ya mwisho kabla hawaja enda shule kesho
Wasije kupotea nakusahau kilicho wa peleka kule
 
Mleta mada si wote wanaripoti leo J3 wengine wamekwisha ondoka tangu Jmosi.Japo uko sahihi wazazi wanaoelewa hili nafikiri wamekupata
 
Back
Top Bottom