VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,481
- 1,450
Ushauri wa bure kwako mwanaume: sio kila mwanamke anaekubali umuoe ni kweli anakupenda au anaipenda hio ndoa; la hasha. Pengine kaona uko kwenye njia ya mafanikio, umuoe aombe talaka mgawane mali. Take care hakikisha mwanamke wako hakujui kila kitu. Ni ushauri tu.