Usharobaro unapozidi

Huyo naye ati amevaa sarawili!!!
Si bora angevua abaki tu na hilo t-shirt yake !!!!
 
Mwe!
Vijana tukiwaambia waokoke wamkubali Yesu kristo kama Bwana na mwokozi wanagoma...ona sasa!
 
Jamaa ana kajimzigo huku nyuma! Au ndo anatangaza biashara nn?
 
hilo sio kata K ni kata vimbwisi
 
wamekosea uyo ana harisha...mwangalie mara mbl
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…