Usharobaro mwengne majanga

Usharobaro mwengne majanga

Joined
Feb 16, 2014
Posts
73
Reaction score
23
Jamaa Kampenda Demu Kanisani, Ukafika Muda Wa Kutoa Sadaka Wakawa Wanapita Mbele Kwenda Kutoa Sadaka, jamaa Kamwona Demu Anataka Kutoa Sadaka Yake, Jamaa Kwa Mbwembwe akamkataza Na Kumwambia : No Baby Ntakulipia Mimi , Watu Wote Hoi Church.
 
sasa sijui baba mchungaji ataichukua ama ataiacha kwenye kapu?
 
Back
Top Bottom