Ushari: Binti ninaempenda sana kaniibia

Huo mkwanja mrefu hauwezi kukaa kwenye kava la simu mkuu usitufanye ni watoto

Huyo hajaiba ila amechukua sehemu ya malipo ya kilicho mleta hapo

Nakusikiliza maelezo ya upande mmoja tutashauri kitu ambacho hatukijui
 
Ni mgeni mshamba wa Pesa huyo...
Akizizoea ataacha wizi..
 
Mkuu hela ni shetani.
Mashekhe na mapadre uvumilivu unawashinda mbele ya hela mvumilie tu. Na umwambie ukweli.

Kuna siku nilikuwa madrasa na ostadh wangu ananifundisha ghafla akatokea mwanafunzi akamletea hela. Ostadh akasahau aya aliyokuwa ananifundisha.
Akaanza kusema jaman jaman Nani huyu aliyetengeneza pesa zinatufanya tunasahau huku.
Kwa hyo hela usizioneshe ovyo.
 
Huo mkwanja mrefu hauwezi kukaa kwenye kava la simu mkuu usitufanye ni watoto

Huyo hajaiba ila amechukua sehemu ya malipo ya kilicho mleta hapo

Nakusikiliza maelezo ya upande mmoja tutashauri kitu ambacho hatukijui
Kweli lakini kumbuka mm n mpenzi wake na sinunue penzi kwake hio pesa ilikua ndefu asee kwa hali hii hata 30 ni pesa kubwa
 
Kweli lakini kumbuka mm n mpenzi wake na sinunue penzi kwake hio pesa ilikua ndefu asee kwa hali hii hata 30 ni pesa kubwa
Mkuu umenifanya nicheke japo wewe una maumivu

Swala la kwenda kwa mganga achana nalo

Mwite aje zungumza nae kwa utaratibu mwelekeze madhara ya kuiba na umjenge kisaikoroji atakwambia mwenyewe

Swala la kwenda kwa mganga utapoteza hela na mda bado jibu litabaki kuwa unatumia mda mrefu kutatua tatizo dogo ambalo halihitaji nguvu kulitatua
 
Sisi tuliiooa tunaibiwa kila siku
 
Usisahau mrejesho
 
Unamuudumia mwanamke ambae hujamuoa,wewe kam nani sasa!!
 
Shubaaaamit kajizalilishaaaa wakat anapendwa ye kaaribu daah ni tamaa tu ila nahc kajizi kasikunyingi ako
 
Mwite mkae umuambie jinsi unampenda na umekwazika kwa alichokifanya. Ajue tu umejua. Mjulishe usingependa hilo litokee tena. Jua pia shetani yupo na kazi ya shetani ni kuharibu so inawezekana ni shetani anataka kuharibu mahusiano yenu. Ni makosa tu yanatokea ila mkanye
 
Kwa mganga siez kwenda nlikua namtest niskie anasemaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…