Duuuh jamaa anachungulia utafikiri ndiyo mara ya kwanza.
Hii ndio funga kazi....
Uwa nawashangaa hawa Atheists (Kiranga na wenzake) kwamba hakuna 'a master designer'. Siamini kuwa sanaa hii imetokea just by chance. There should be The Master DESIGNER behind this!