Prince of Persia
Member
- Jul 17, 2018
- 50
- 43
Karibuni hivi first year waliodahiliwa na kupata vyuo mbali mbali hapa tz na kule znz wataripoti. Ila mara nyingi huwa na shobo nyingi sana wawapo vyuoni.
Tunakukumbusheni kuwa mkae mkijua huku kuna CARRY NA KUDISCO so kuweni makini
Tunakukumbusheni kuwa mkae mkijua huku kuna CARRY NA KUDISCO so kuweni makini