smartphone ndio mambo yote....simu sasa ni kila kitu
Simu
Msg
Emails
Internet..info..social networks
Saa..Alarm
Scanner
Mass storage device
Camera
Diary Planner
Mini bank
Torch
Radio
TelevisioGames gadget
Notebook
Voice recorder etc etc
Hivyo kama unaweza kuitumia vizuri ni bora kuwa nayo yenye uwezo
Mi nafikiri lengo la kuwa na simu ni kuwa na uwezo wa kutuma ujumbe mfupi, uwezo wa kuwasiliana na mtu wa pili kwa haraka kwa ajili ya maongezi, labda tuweke na matumizi ya Internet ambapo unaweza kuhabarisha watu na kupata taarifa mbalimbali kama za hapa JF. Lakini mi point yangu ni kwaba kweli kuna ulazima wa kuwa na simu ya bei mbaya sana kuanzia laki 3 na kuendelea wakati unaweza kupata simu yenye hizo huduma zote kwa elfu 50 mpaka laki??, huu sio ushamba kweli!!, kinachofurahisha zaidi hao wanaotengeneza hizo simu wenyewe hata hawazitumii hizo za bei mbaya!!!,
Utakuuta mtu una simu ya milioni moja halafu anasema maisha magumu!!.

Nokia n9 naipata ila ni Symbian tatizo but ni nzuri sana.
Napenda sana windows phone kama hii Lumia 800 but now nataman lumia 900 ya GB 64 coz hii ina 16GB tu.
Thanks for the update.
Nina laptop na modem lakini simu yangu inanifanya nisione umuhimu wa hivyo.
Kwenye hii simu nina Microsoft office 2010
Opera Mobile 10
Internet exploler
Radio
Currency converter ya kila fedha internet based SPB SHELL
facebook application
Twitter application
Myspace ''
Operating system yake ni Microsoft Windows Phone 7.5
Adobe reader
Bei yake kwa Dar 1.6 M
japo kwa sasa inaweza patikana hata kwa milion 1.3
na ina mambo mengi sana na kii kipana sana kama palm top.
MIMI BORA UNINYIME KOMPUTER ILA SIMU IWEPO TENA SIMU NZURI SANA HATA IWE YA 3M NITANUNUA.
mtoa mada huna hoby na simu au hujui pocket technology.
Hapa nadhan hoja si ushamba bali interest.
Mi nafikiri lengo la kuwa na simu ni kuwa na uwezo wa kutuma ujumbe mfupi, uwezo wa kuwasiliana na mtu wa pili kwa haraka kwa ajili ya maongezi, labda tuweke na matumizi ya Internet ambapo unaweza kuhabarisha watu na kupata taarifa mbalimbali kama za hapa JF. Lakini mi point yangu ni kwaba kweli kuna ulazima wa kuwa na simu ya bei mbaya sana kuanzia laki 3 na kuendelea wakati unaweza kupata simu yenye hizo huduma zote kwa elfu 50 mpaka laki??, huu sio ushamba kweli!!, kinachofurahisha zaidi hao wanaotengeneza hizo simu wenyewe hata hawazitumii hizo za bei mbaya!!!,
Utakuuta mtu una simu ya milioni moja halafu anasema maisha magumu!!.
Mkuu Paxman yako ni Evo 3D or Optimus 3D?
Mkuu nilikuwa na Windows mobile na now natumia Android device., U can't be serious saying that Windows mobiles are better.,
For now in this world that we are living, the best rival OS ni Android and IOS and for how things going, Android will take over soon., mark my words
Bado Xbox Live mkuu... mie nimesema interest na kutojua umuhim wa SIMU ZA GHARAMA NI TATIZOKuongezea mzee naweza kupokea file langu la drawing kwenye AUTOCARD! Kweli naona value ya pesa yangu, nilikua ninasimu moja wakinitumia drwngs nawaambia waconvert kwanza kwenye PDF, lkn sasa natwanga.
Hata mimi nawshauri watu kama wanishia kwenye sms, Social Hub na kupiga CM tu na internet, nunua simple CM.
nina laptop na modem lakini simu yangu inanifanya nisione umuhimu wa hivyo
aisee mimi ninaihitaji kweli naomba nipe.
Siku hizi kuna Blackberry Posche design ni 4.5M na watu wananunua ni hobby na uchaguzi tu kama wewe hunazo kaa kimya
NINA HII HAPA SAMSUNG I900 OMNIA
View attachment 53028
hii hapo ndo inatumia Microsoft Windows Mobile na kwa sasa Microsoft wameacha kutoa aina hii ya OS mie natumia Custom ROM Windows Mobile 6.5 bado napata Market Place Service.
Pia nina Nokia Lumia 800 hii hapa
View attachment 53029
Hii inatumia Microsoft Windows Phone 7.5 Mango amabayo ndo latest OS ya Microsoft na ukweli ni kwamba ni bora kuliko Samsung S2 na inaizidi iPhone 4
NATAMANI SANA NIPATE HII KITU Nokia Lumia 900.
Kuhusu Android kutake over no issues kwa hapo badae but kubali Windows Phone ni best mpaka sasa
Kuna tofauti kubwa sana kati ya Windows Mobile na Windows Phone.