Ushamba: Simu za Gharama

Sijanunua Tz mkuu. Nimetoka nayo nje ila Dar nimeziona Nokia Care uliza inaitwa Nokia Lumia 800
japo kwa sasa kuna Lumia 900 imetoka March ila sijui kawa Dar ipo.

Hii simu Nokia Lumia 800 imeshuka sana bei......M1 Tshs unaipata, ila ukweli ipo juu!! Kuna kifaa kingine Nokia N9 ni matata isee.... ila programs ni almost the same na hii Lumia 800
 
kabisa mkuu, mtu ni mwembambaaaaaa anunua kitanda cha 5kwa 6 au 6kwa6, kwa nini asinunue na kulalia kitanda cha 2na nusu kwa 6 kama vile vya boarding schools alichokuwa analalia enzi hizo na kinamtosha?

Kwa sababu akioa au kuolewa hakitatosha!
 
Hhahahaaa mkuu rudi.....

Hii simu Nokia Lumia 800 imeshuka sana bei......M1 Tshs unaipata, ila ukweli ipo juu!! Kuna kifaa kingine Nokia N9 ni matata isee.... ila programs ni almost the same na hii Lumia 800
Nokia n9 naipata ila ni Symbian tatizo but ni nzuri sana.

Napenda sana windows phone kama hii Lumia 800 but now nataman lumia 900 ya GB 64 coz hii ina 16GB tu.

Thanks for the update.
 
Du jamani kuna watu wa ajabu, du malengo ya simu ni zaidi ya hayo uliyoainisha, simu ya milioni uifananishe na ya shilingi elfu hamsini, kuna tofauti kubwa sana kwanza display, comfotability katika kuitumia, function and options, simu ya elfu hamsini huwezi fanyia presentation, suala la maisha magumu haliletwi na simu kuna wangapi hawana simu za bei na maisha ni magumu vile vile, unanikumbusha enzi za ugumu ukishindwa kupata vitu vizuri unajiita ni mgumu, hivi mtoa mada unaelewa maana ya ushamba? Mshamba ni mtu ambaye haendi na wakati kama wewe.
 
Simu hiyo haina jina??? Wacha UHAYA
 
Hii simu Nokia Lumia 800 imeshuka sana bei......M1 Tshs unaipata, ila ukweli ipo juu!! Kuna kifaa kingine Nokia N9 ni matata isee.... ila programs ni almost the same na hii Lumia 800

Ona ushamba huo!!!.
 
Kweli kabisa, ila tuchukulie mfano wa hapa Bongo. Blackberry, iPhone, na other smart phones zina umuhimu gani wakati there's no GPS technology in here, na internet yenyewe tunaibiwa ama kupunjwa na phone companies, si ujinga huu? Sawa mtu una fursa ya kupenda ukipendacho lakini many times naona sie Watz ni mbumbumbu kweli. Utakuta mtu anaendesha gari hana gas/petroli analalamikia washikaji baa kuwa hana hela, mtu huyo huyo anaona fahari kutoa simu ya Blackberry na kuiweka mezani ili washikaji wamuone ana Blackberry...jamani ni ulimbukeni ama?
 
ukitaka kufanya kitu basi kifanye kwa ubora zaidi,usije ukasema ghorofa ni ushamba we endelea tu kukaa tandale kununua cm ya gharama co ushamba hapa na_make nije kununua iphone4.
 
labda mkuu nkuulize kama hutajali
unaishi nyumba ya kupanga au umejenga?
hizo content za simu unazitumia zote kwa bongo?
mitandao yetu ina infrastructure inayoruhusu application ya hizo content?
 
labda mkuu nkuulize kama hutajali
unaishi nyumba ya kupanga au umejenga?
hizo content za simu unazitumia zote kwa bongo?
mitandao yetu ina infrastructure inayoruhusu application ya hizo content?

Ni baadhi ya service kama my nokia Bongo haipo bado.

Ms office ipo
whatsapp ipo
Gps nav ipo
camera inanisaidia sana kwa kupiga na ku upload hapohapo hivyo ni zaidi ya digital camera.
Youtube, twitter, myspace, linkedIn, zote zipo.
Zune haipo insteady natumia marketplace.
Nimbuzz, skype, AIM. INSTANT MESSAGING
Email napokea na kujiku kama sms vile.

Bible, dictionary, currency exchange, calculator, barcode reader n.k zote napata.
Airtel iko poa sana kwa huduma hizo zote.

Kumbuka kuna milions of mobile apps hata ukiwa NYC utatumia chache zinazogusa lifestyle yako. Ukitaka uwe nazo zote utakuwa crazy.
Mie spend gaming ndo maana sijataja hapo juu japo simu yangu ina support 3D games.
Kuna apps za usalama sijataja kwa kuwa siko huko. Simu ni zaidi ya uijuavyo.

KUMBUKA NIMESEMA NI INTEREST YANGU KUWA NA SIMU NZURI HATA IWEJE SIWEZ KUTUMIA SIMU ITAKAYONINYIMA HUDUMA HIZI.

NIMECHOKA NAPUMZISHA VIDOLE...
 
ukitaka kufanya kitu basi kifanye kwa ubora zaidi,usije ukasema ghorofa ni ushamba we endelea tu kukaa tandale kununua cm ya gharama co ushamba hapa na_make nije kununua iphone4.
iphone 4s au 5 ndo mpango mzima mkuu.

but the best ni Windows Phone supported Os e.g Nokia Lumia lumia, Dell, Samsung au HTC.

iOs na Android, symbian au bada na BB sio ishu kivile.

Jipange KK III
 
Jamani tuvumiliane ktk hili.Kama wewe huwezi kumudu simu fulani ni wewe tu,wacha wenye uwezo wawe nazo.Binadamu tunatofautiana ktk madaraja ya matumizi,na hiyo ndo inaleta maanaya maisha.
 
Mkuu Paxman yako ni Evo 3D or Optimus 3D?

iphone 4s au 5 ndo mpango mzima mkuu.

but the best ni Windows Phone supported Os e.g Nokia Lumia lumia, Dell, Samsung au HTC.

iOs na Android, symbian au bada na BB sio ishu kivile.

Jipange KK III

Mkuu nilikuwa na Windows mobile na now natumia Android device., U can't be serious saying that Windows mobiles are better.,
For now in this world that we are living, the best rival OS ni Android and IOS and for how things going, Android will take over soon., mark my words
 
sikubaliani na wewe hata kidogo...kila mtu na akipendacho....mfano mimi napenda technology, kwa hiyo napenda kuwa na kitu kinacho nipa raha...mfano , kwa simu niliyonayo, naweza kuchat Whatsapp hata na mtu aliye marekani, au England, coz nina marafiki huko....naweza kuongea nao kwa kutumia Skype kwa kutumia simu hiyo hiyo...naweza kuwatumia picha ndani ya sekunde 10, hata wakiwa Marekani au india.....naweza kujua direction ya sehemu ninayokwenda kwa kutumia GPS (thanks to google map), na kuna matumizi mengine mengi tu....kwa hiyo sidhani kama kuwa na simu ya gharama ni ushamba kama kweli una fedha ya kununua simu, na pia unajua matumizi yake, kama mimi
 
Jamani tuvumiliane ktk hili.Kama wewe huwezi kumudu simu fulani ni wewe tu,wacha wenye uwezo wawe nazo.Binadamu tunatofautiana ktk madaraja ya matumizi,na hiyo ndo inaleta maanaya maisha.
soma uchokozi wa mada kwa makini
 
Yatosha kuishi kama uwezavyo si kama utakavyo kwani waengi wamejaribu na kushindwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…