1.Ushamba ni kuwepo ktk onyesho flani la Bendi maarufu ya mziki wa Dansi,unampatia pesa kiongozi wa Bendi au rapa ili jina lako litajwe mpaka mwisho wa onyesho kuwa "Papaa Masaburi Makubwa" yupo ndani ya Nyumba.
1.Ushamba ni kuwepo ktk ukumbi wa Starehe unanyanyuka kila mara kucheza aina yoyote ya muziki unaousikia.
2.Ushamba ni kufungua chupa ya Bia kwa meno badala ya kumsubiri Mhudumu aliye kuhudumia
3.Ushamba ni kujimiminia pombe kidogo ktk Glass ili kuisuza wakati Mhudumu alisha isuuza kwa Maji Moto kabla.
4.Ushamba ni kwenda na Ipad ktk Harusi au Msiba unaitoa na kujifanya kupiga Picha hovyo hovyo ili kuonyesha nawe ni mmoja ya Watu wanaomiliki Ipad.
5.Ushamba ni kuingia ktk ukumbi wa Burudani au Sherehe huku ukiwa umening'iniza Funguo nyingi za nyumbani kwako au Pikipiki ktk Suruari yako uwachanganye watu wakuone umeingia mahali hapo na Gari lako binafsi.
6.Ushamba ni kutisha watu kwa kauli ya "Unajua mimi ni Nani'' ili wakuogope kwa kukudhania labda wewe ni Afisa Usalama wa Taifa kumbe ukweli wewe ni Getman wa nyumba ya afisa mwenye cheo kikumbwa Jeshini.
7.Ushamba ni kujifanya wewe ni Hodari kuzungumza Kingereza kwa kupachika maneno ya kizungu ktk mazungumzo ya Kiswahili.Ukipewa dakika 20 uzungumze Kizungu pekee yake
unatia aibu kwa kuongea What they call Broken English.:lol:
Kila mtu ana Tafsiri yake kuhusu neno Ushamba.Ukiwa kama Mdau wa mambo ya Kishamba Tafadhali weka tafsiri yako Tuelimishane Ushamba ni nini?
ushamba ni kujipachika jina la raisi wa taifa kubwa duniani eti obama wa bongo hahahaha.:lol:ushamba ni kuleta thread za kimbeambea kama hizi hapa jf
1.Ushamba ni kuwepo ktk onyesho flani la Bendi maarufu ya mziki wa Dansi,unampatia pesa kiongozi wa Bendi au rapa ili jina lako litajwe mpaka mwisho wa onyesho kuwa "Papaa Masaburi Makubwa" yupo ndani ya Nyumba.
1.Ushamba ni kuwepo ktk ukumbi wa Starehe unanyanyuka kila mara kucheza aina yoyote ya muziki unaousikia.
2.Ushamba ni kufungua chupa ya Bia kwa meno badala ya kumsubiri Mhudumu aliye kuhudumia
3.Ushamba ni kujimiminia pombe kidogo ktk Glass ili kuisuza wakati Mhudumu alisha isuuza kwa Maji Moto kabla.
4.Ushamba ni kwenda na Ipad ktk Harusi au Msiba unaitoa na kujifanya kupiga Picha hovyo hovyo ili kuonyesha nawe ni mmoja ya Watu wanaomiliki Ipad.
5.Ushamba ni kuingia ktk ukumbi wa Burudani au Sherehe huku ukiwa umening'iniza Funguo nyingi za nyumbani kwako au Pikipiki ktk Suruari yako uwachanganye watu wakuone umeingia mahali hapo na Gari lako binafsi.
6.Ushamba ni kutisha watu kwa kauli ya "Unajua mimi ni Nani'' ili wakuogope kwa kukudhania labda wewe ni Afisa Usalama wa Taifa kumbe ukweli wewe ni Getman wa nyumba ya afisa mwenye cheo kikumbwa Jeshini.
7.Ushamba ni kujifanya wewe ni Hodari kuzungumza Kingereza kwa kupachika maneno ya kizungu ktk mazungumzo ya Kiswahili.Ukipewa dakika 20 uzungumze Kizungu pekee yake
unatia aibu kwa kuongea What they call Broken English.:lol:
Kila mtu ana Tafsiri yake kuhusu neno Ushamba.Ukiwa kama Mdau wa mambo ya Kishamba Tafadhali weka tafsiri yako Tuelimishane Ushamba ni nini?
Umekosea, ushamba ni kuvaa kata ku.ndu na kudhani kuwa Rick Ross mnuka mdomo ni baba yako au role model wako wakati he doesn't give a damn about You but the bills ($).
ushamba ni kuleta thread za kimbeambea kama hizi hapa jf
hapana mimi nawatetea,ushamba ni kupachika picha ofisini ya kiongozi mkubwa nchini eti ili maafisa wa T.R.A waogope kukushurutisha kulipa kodi.
Duh!! Umeua.
hahaha nahakurudia tena.:becky:Mkuu obama wa bongo umeguswa ndipo. Haa ha ha.
ushamba ni wafuasi fulani wa chama cha siasa kuvaa magwanda kama wannamgambo wa jiji