Duniani kuna maajabu, mti huo unaotoa matunda yenye umbo la binadamu huko nchini Thailand na kuzaa kila baada ya miaka 20. Haya ndiyo maajabu ya dunia, ukistaajabu ya Musa utaona ya mti huu wa maajabu.
Unaitwaje huo mti au matunda yake? Nstaka niutafute maana nyie hamchelewi kutupa viini macho humu
Duniani kuna maajabu, mti huo unaotoa matunda yenye umbo la binadamu huko nchini Thailand na kuzaa kila baada ya miaka 20. Haya ndiyo maajabu ya dunia, ukistaajabu ya Musa utaona ya mti huu wa maajabu.
Ndio maana nikasema hizo ni graphics art, hakuna tunda la na na hii, hiyo link kwanza haipo
Tatizo haiji km link ambayo ni bolded, imakuja km sentence ya kawsida inayohitaji ku-type
Umeeleza vizuri kabisa like ni halali yako
kama ungekuwa unayauza watej wako wakuu unajua angekuwa nani na nani..Haya yangekuwa dili sana
kama ungekuwa unayauza watej wako wakuu unajua angekuwa nani na nani..