USHAHIDI: Wananchi wakataa vitisho vya mabomu, risasi za moto, mikutano ya CHADEMA

Ccm kwisha habari yake kwa hali hii bora walivyounda mabaraza yao ya ofisini kuogopa aibu wangepata watu wa vikao vya familia sio harusi
 
Patamu hapo - Hongereni watu wa Makambako
attachment.php
 
Iringa mjini...jana. Watu wanakula hoja za Rasimu ya Katiba Mpya. Huu ndiyo mkutano uliomkurupua yule RPC. Labda naye anatamani angekuwa na forum kama hii...
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1377450462.876893.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1377450462.876893.jpg
    135.4 KB · Views: 690
  • ImageUploadedByJamiiForums1377451844.697967.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1377451844.697967.jpg
    146.6 KB · Views: 679
Makambako
Kwa hisani ya Kurugenzi ya Habari


Hivi hawa CHADEMA wanatumia mbinu gani hadi wanaweza kujaza umati mkubwa hivi wa watu? Are they FREEMASON? Nina pata shida kuamini kama hawa jamaa wanakubalika kiasi hiki,jana nilipita karibu na mkutano wao somewhere hadi mwili ukasisimka kwa jinsi walivyojaza umati mkubwa wa watu.
 
Kwa hisani ya Kurugenzi ya Habari
Mkuu lazima alikurupushwa huu umati unatisha
Ukombozi huooooooooooooooo
Peoples powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr



 
kiukweli kasi ya chadema ni nouma,ukienda vijijini watu wanabadilika balaa.
 
Back
Top Bottom