matokeo yaliyotangazwa na NEC
.................................MZIRAY KIKWETE SLAA....... LIPUMBA... RUNGWE MGAYWA DOVUTWA SPOILT..... Total
GEITA................ 505 ...17,792.. 3,789 ..1,042 ........51 ........18 ...........49......... 791...... 24,037
NYANG'HWALE. 505 ...17,792.. 3,789 ..1,042 ........51 ........18 ...........49......... 791...... 24,037
Mwafrika watakuja watasema ni data error hizo kwenye mtandao wa Mwananchi.com
Na hiyo itakuwa sababu tosha kabisa ya kusimamisha tukio zima la kutangaza matokeo ili kuhakikisha kuwa hakuna "data errors" nyingine somewhere
Ombi maalumu kwa wana JF,
Sambazeni hii kwenye email zenu to as many people as you can.
Fanyeni Kazi uchaguzi umekwisha.We umezidi kuongopa na kudanganya watu hapa.
Watu wamepiga kelele sana na kumponda Dr Slaa kuwa anaongopa kuhusu wizi na udanganyifu kwenye kujumlisha matokeo ya uraisi.
Ushahidi wazi kuwa matokeo ya kura haya ni ya uongo ni huu hapa:
Waosha vinywa pingeni na hili pia
wakuu sielewi mbona kuna tofauti kati ya majimbo hayo mawil soure mwananchi election
Hakuna siri ya watu wawili.
NEC hawakulijua hili.
Kwa nini vyombo vya ulinzi na usalama wanafumbia macho vitendo hivi vya wanasiasa?
Kwa nini? Kwa nini? Kwa nini?
jamani mi nashauri habari ya uchaguzi tuachane nayo.
wengine tunapata hasira sana lkn ndo hivyo hatuna la kufanya.
Mkuu nimecheka sana nilipoona Avatar yako
bwa ha ha ha ... kazi yako ya kugombea vipi? Ndio imetoka au utarudia 2015?
jamani mi nashauri habari ya uchaguzi tuachane nayo.
wengine tunapata hasira sana lkn ndo hivyo hatuna la kufanya.
Nitarudi 2015... pamoja na timu yangu yote