Elections 2010 Ushahidi wa wizi na udanganyifu kwenye matokeo ya kura huu hapa

Mwafrika

JF-Expert Member
Nov 20, 2006
5,490
226
Watu wamepiga kelele sana na kumponda Dr Slaa kuwa anaongopa kuhusu wizi na udanganyifu kwenye kujumlisha matokeo ya uraisi.

Ushahidi wazi kuwa matokeo ya kura haya ni ya uongo ni huu hapa:

matokeo yaliyotangazwa na NEC

.................................MZIRAY KIKWETE SLAA....... LIPUMBA... RUNGWE MGAYWA DOVUTWA SPOILT..... Total

GEITA................ 505 ...17,792.. 3,789 ..1,042 ........51 ........18 ...........49......... 791...... 24,037
NYANG'HWALE. 505 ...17,792.. 3,789 ..1,042 ........51 ........18 ...........49......... 791...... 24,037

Waosha vinywa pingeni na hili pia
 
Ombi maalumu kwa wana JF,

Sambazeni hii kwenye email zenu to as many people as you can.
 
Mwafrika watakuja watasema ni data error hizo kwenye mtandao wa Mwananchi.com
 
Mwafrika watakuja watasema ni data error hizo kwenye mtandao wa Mwananchi.com

Na hiyo itakuwa sababu tosha kabisa ya kusimamisha tukio zima la kutangaza matokeo ili kuhakikisha kuwa hakuna "data errors" nyingine somewhere
 
CCM CHADEMA CUF NCCR-Mageuzi TLP UPDP APPT Jimbo Jakaya Kikwete % Willbrod Slaa % Ibrahim Lipumba % Hashim Rungwe % Muttamwega Mgahywa % Fahmi Dovutwa % Pettr Mziray % Spoil Cast Registered %Turnout NYAMAGANA UKEREWE 29,018 47.5 30,372 49.7 668 1.1 126 0.2 77 0.1 54 0.1 750 1.2 2,062 60228 147,957 33.1 MISUNGWI KWIMBA GEITA MJINI 30,960 51.4 22,036 36.6 3,828 6.4 198 0.3 86 0.1 99 0.2 920 1.5 2,062 60228 166,806 36.1 NYANG'WALE 17,792 74.4 3,789 15.8 1,O42 4.4 113 0.2 57 0.1 68 0.1 505 2.1 49,161 138,597 35.5 BUSANDA 33,547 55.7 22,760 37.8 883 1.5 116 0.2 48 0.2 233 0.4 10,147 16.8 2,062 60228 152,519 39.5 SENGEREMA 29,910 60.3 15,668 31.6 1,599 3.2 198 0.4 75 0.2 188 0.4 1,999 4.0 49637 137,977 36.0 BUCHOSHA 26519 54.6 21,162 43.5 749 1.5 108 0.2 36 0.1 36 0.1 48,607 147977 36.0 MAGU SUMVE
 
Na hiyo itakuwa sababu tosha kabisa ya kusimamisha tukio zima la kutangaza matokeo ili kuhakikisha kuwa hakuna "data errors" nyingine somewhere

Haya matokeo yanayo tangazwa mpaka watoto wadogo wanashangaa watu wazima wanafanya mambo ya kitoto sana
 
Watu wamepiga kelele sana na kumponda Dr Slaa kuwa anaongopa kuhusu wizi na udanganyifu kwenye kujumlisha matokeo ya uraisi.

Ushahidi wazi kuwa matokeo ya kura haya ni ya uongo ni huu hapa:

Waosha vinywa pingeni na hili pia

Hakuna siri ya watu wawili.

NEC hawakulijua hili.

Kwa nini vyombo vya ulinzi na usalama wanafumbia macho vitendo hivi vya wanasiasa?

Kwa nini? Kwa nini? Kwa nini?
 
Hakuna siri ya watu wawili.

NEC hawakulijua hili.

Kwa nini vyombo vya ulinzi na usalama wanafumbia macho vitendo hivi vya wanasiasa?

Kwa nini? Kwa nini? Kwa nini?

Mkuu nimecheka sana nilipoona Avatar yako
 
jamani mi nashauri habari ya uchaguzi tuachane nayo.
wengine tunapata hasira sana lkn ndo hivyo hatuna la kufanya.
 
jamani mi nashauri habari ya uchaguzi tuachane nayo.
wengine tunapata hasira sana lkn ndo hivyo hatuna la kufanya.

kama umechoka nenda kalale tu ndugu yangu.

hawa CCM bila kuwakomalia hatuwezi kukomboa nchi yetu.

Hatutoki jamvini.

JF imenisaidia kuwashawifi wazazi na ndugu zangu wasikipigie kura CCM
 
jamani mi nashauri habari ya uchaguzi tuachane nayo.
wengine tunapata hasira sana lkn ndo hivyo hatuna la kufanya.
 
jamani mi nashauri habari ya uchaguzi tuachane nayo.
wengine tunapata hasira sana lkn ndo hivyo hatuna la kufanya.

ukiwa na hasira sana, nenda bar ukapate moja baridi ... sisi tutaendelea kumjadili dikteta na mwizi wa kura kikwete mpaka siku kitakapoeleweka
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom