LATTICE BOND
JF-Expert Member
- May 30, 2011
- 219
- 48
Muongo wewe
PPT MAENDELEO wanafadhiliwa na SOMALIA
CHAUSTA MAENDELEO wanafadhiliwa na syria.....
Sababu za ccm kusema chadema wanafadhiliwa na Ujerumani ni kwamba:
1. Viongozi wa chadema wanafanya ziara za mara kwa mara nchini ujerumani. na kwamba lengo la ujerumani ni kuiingiza chadema ikulu ili ipambane na rushwa. chadema wakishadhibiti rushwa, Wajerumani wataingia kuwekeza kwa nguvu maana hivi sasa hawawezi kuweza kutokana na rushwa kuwa kubwa mno. Serikali ya Ujerumani ina sheria kali sana kuhusu rushwa kwa hiyo makampuni yanaogopa mkono wa serikali yao!! ndipo suala ya kuifadhili chadema huanza!!!
Sababu za chadema kusema ccm inafadhiliwa na China pamoja na USA
1.Viongozi wa ccm huchota fedha kutoka china wakati wa kampeni ili washinde uchaguzi. wanaposhinda wanatoa ajira kwa raia wa china katika sekta zote kuanzia professional jobs hadi non professional jobs
2. viongozi wa ccm husaidiwa na USA kutangaza uwepo wa demokrasia na amani. in return wanatoa madini kwa USA.
kutokana na hayo madai ya pande mbili, yupi ni less devil? ccm au cdm?
Dr. Slaa,Latice,
Hapa sijaona ushahidi wowote. Tanzania ina host mashirika ya Friedrich Ebert Siftung, Konrad adenauer stiftung na mengineyo toka toka Ujerumani, NDI toka Marekani, Center Party na Hoyre toka Norway, mashirika kama hayo toka Uingereza yakimilikiwa na Conservative na Labour Party. Kila moja ya mashirika haya yanashirikiana na vyama vya Tanzania kwa misingi ya makubaliano baina yao. Mahusiano hayo ni public huhitaji huhitaji ushahidi.
Njoo Chadema nitakupa wa kwetu na wahisani na washiriki wetu. Wengine siwasemei.