hakuna sababu ya kujibu huu upuuzi. just get focused on the main agenda. ufisadi,uwajibikaji,social welfare, period. kila utakapozungumzia haya na mengine ndio unavyoona mapunguvu makubwa ya ccm na uhitaji wa kuwaondoa unaongezeka zaidi.Ni kweli CHADEMA inabidi ije kivingine katika kupangua hoja dhaifu za CCM japo vigazeti vyenyewe usomekaji wake si mkubwa sana miongoni mwa jamii lakini si vya kukalia kimya.
Kwahiyo wewe ulikuwa unategemea Magazeti haya hayatumii kodi yetu kujiendesha bila faida? anayekumbuka Arumeru hawezi kuingizwa mkenge na Propaganda uchwara, maana kule Arumeru hadi Wamasai wasiojuwa kusoma na kuandika walikuwa wanagaiwa bure magazeti ya Uhuru yaliyojaa Propaganda, lakini matokeo kila mtu anayajuwa kwenye sanduku la kura watu walifanya nini......naomba kuuliza swali hivi magazeti haya huwa yanauzwa au yanagawiwa bure ?? ni nani analipia gharama za uzalishaji na usambazaji wa magazeti haya kwa sababu nina wasiwasi isiwe kodi zetu ndio zinatumika kugharamia utumbo huu.