Ushahidi tuhuma za January Makamba

Hivi kuna tofauti ya Zitto na Makamba? Hata aliyeleta uzi ni Mchange! Unakanusha nini wakati Makamba amekiri kupokea fedha na kumuunganisha na Waziri wa uchukuzi?
Umeona mkuu, yaani huyu kaleta post bila kutafakari facts ambazo zinasambaa tayari. Mtuhumiwa kakiri halafu huyu anakuja sijui kueleza nini?
 
Nilishawaeleza juu ya huyu Mtoto mjanja mange kimambi na umaarufu anaoutafuta hapa mjini!
 
Umeona mkuu, yaani huyu kaleta post bila kutafakari facts ambazo zinasambaa tayari. Mtuhumiwa kakiri halafu huyu anakuja sijui kueleza nini?
nani sasa, muitaliano ama mange?...
 
Maji yameshamwagika. Wananchi wa nchi hii wamshajua ukweli hatakama wakihamua kuficha is too late. Inabidi January hakubali kulikuwa na deal kwani kwenye marecord kunaonyesha dalili zote za rushwa. Fanya jambo la burasara kwa watanzania waliokupigia kura na kwa manufaa ya taifa . JANUARY HACHIA NGAZI KWANI SITHANI TUTAKUMISS SANA.
 
Hii inaweza kushusha thamani Na heshima ya wengi....
Nahisi meena hapa anatumika.....!
 
wapi mange kimambi amwage radhi
Hivi mmesoma hiyo barua inayodaiwa imetoka kwa Mu-italiano kweli? Au kiingereza kinawapiga chenga? Umesoma amekiri nini? Kwa hiyo Mange
Du ni wewe mchumia tumbo umeshajiunga kwenye hili sakata?
 
Mzungu kalamba dollari
Mwitaliano ana akili sana au niseme ame-apply mbinu za kimafia. Hii imekuwa kama ransom - teka mtu unayemdai, tena mwanasiasa maarufu, kwa kudai zawadi uliyotoa kwa vile ulikuwa ukipata p...ch ya dada mtu lakini ukatemwa. Serikali inatetemeka na kukulipa 'haki yako' maana hii ilikuwa ni aibu kwa serikali. Unaambiwa kanusha. Hana cha kupoteza, amepata chake na mwanasiasa aliyetekwa sasa yuko huru.
 

Una facts za ziada mkuu uweke?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…