Ushahidi mtumishi wa TRA waiva

Ushahidi mtumishi wa TRA waiva

Hakuna mfanyakazi TRA nanaanza analipwa 2M. Hiyo mishahara ni level za meneja wa wilaya au principal tax officers.

Gross ya TRA ni laki 8. Transport & Housing allowance ni 160,000.

Ukiona mtumishi wa TRA anaishi maisha nje ya huo mshahara ujue ni wizi au rushwa.

Watu mna imaginations za ajabu sana kuhusu mishahara ya TRA.

Rudia kusoma mashitaka ya awali ya huyo dada, walitaja na mshahara wake hadi kufikia june 2016 ambao hauzidi 1.2M na ana miaka 7 sasa kazini.

TRA nje ya rushwa ni maisha ni ya kawaida sana.
Unaona sasa, kumbe mrembo ni mwizi, pure and simple, anyee debe ajifunze hakuna vya bure duniani..
 
Nnabadili jina aisee! Haya majina ya akina Mrema,Lema,kimaro,mushi,na mengine yanayofanana na hayo ni majina Hatarishi awamu hii ya 5!!
 
Tanzania kuna vituko eti mtu anashitakiwa kwa kumiliki Magari kumi na tisa tena Toyota tupu na kuishi maisha ya juu tofauti na mshahara wake. Yule ni mwanamke kuishi maisha ya juu huenda ana tumia part time yake vizuri au kwao zipo kwanini asiishi vizuri. Na hayo magari angalau ingekuwemo Range, V8, Land cruiser, Hammer, Posh na ndinga nyingine kali. Swali Mshahara wanapanga wao na matumizi apange nani?
pia hii inachangiwa na wivu kwa watu wa jamii hiyo,maana wana maendeleo kweli kweli
huenda hilo jina JENIFA MREMA NDIO LIMEWACHANGANYA AKILI
CC chuma cha mjerumani
 
Tanzania kuna vituko eti mtu anashitakiwa kwa kumiliki Magari kumi na tisa tena Toyota tupu na kuishi maisha ya juu tofauti na mshahara wake. Yule ni mwanamke kuishi maisha ya juu huenda ana tumia part time yake vizuri au kwao zipo kwanini asiishi vizuri. Na hayo magari angalau ingekuwemo Range, V8, Land cruiser, Hammer, Posh na ndinga nyingine kali. Swali Mshahara wanapanga wao na matumizi apange nani?
pia hii inachangiwa na wivu kwa watu wa jamii hiyo,maana wana maendeleo kweli kweli
huenda hilo jina JENIFA MREMA NDIO LIMEWACHANGANYA AKILI
CC chuma cha mjerumani
 
Unaona sasa, kumbe mrembo ni mwizi, pure and simple, anyee debe ajifunze hakuna vya bure duniani..
aliiba wapi?
hivi nyie washamba mnataka watu wawe maskini kama nyie?
kwan ukifanya kaz serikalin huwez kukopa mkopo na kufanya biashara binafsi nje ya mshahara?
kinachowasumbua n wivu kwa watu wa kanda ilee walivyo na maendeleo,na mtaishia kubaki maskin hivyo hivyo shwain nyie
 
Haya mambo mengine ni ulimbukeni tu, unanunuaje magari 19 yakutembelea, si bora ukanunue viwanja huko, Sema yawezekana waliokuwa wanampa dili kawanyima papuchi sasa wanamshughulikia
Unajuaje kama anakodishiq
 
Kwahiyo kwa mshahara huo alitakiwa amiliki vitu kiasi gani na aishi maisha ya gharama gani? na je? angeamua kuweka mali zake katika majina tofauti ingekuwaje. Kama aliuza mali yake au mali ya urithi hiyo ni nje na kazi yake itakuaje? je? kama alivuta mkopo napo itakuwaje. Angalia thamani ya magari yote haya fiki hata bei ya Ndinga za maana.
kinachowasumbua watu n kutokana na jina LA huyo Dada ,watu wa kanda ilee wana maendeleo sana,sasa washamba wanamwonea wivu wanadhani kila mtumishi anategemea mshahara,ushamba mwingne n shida
 
kinachowasumbua watu n kutokana na jina LA huyo Dada ,watu wa kanda ilee wana maendeleo sana,sasa washamba wanamwonea wivu wanadhani kila mtumishi anategemea mshahara,ushamba mwingne n shida
Wivu utokee wapi yeye athibitishe tu uhalali wa hiko kipato cha kumiliki hayo yote baasi kwani ni kazi ngumu???
 
Kaajiriwa TRA, mishahara yao ni ina range 2m-3m kwa mwezi, ukitoa matumizi ya mwezi ya kula, nguo, pango, fuel, luku, maji, misc wabakiwa labda na 1m, hapo kama huna watoto, kama unao, wabakiwa na ndogo zaidi, sasa ndio kujiuliza magari 19 na hiyo nyumba aliyojenga amewezaje?! tena anaonekana kijana tu, sidhani kama ana zaidi ya 10 yrs TRA, jibu ni wizi, uwe ulaya, marekani au asia, dola huwa zinachunguza vipato vya watu..
Hivi yule mwingine, Masamaki mmeshamalizana naye?
 
Tuache kuiba, tuache kufanya kazi kwa mazoea, tuache uvivu, tuache njia za mkato, tutumie vyeti vyetu halisi, tupiganie haki zetu kwenue huduma za afya, miundo mbinu, elimu, umeme, maji, ustawi wa jamii na kupiga kazi kwa maarifa na juhudi...
Ama sivyo ndio haya...
 
Kaajiriwa TRA, mishahara yao ni ina range 2m-3m kwa mwezi, ukitoa matumizi ya mwezi ya kula, nguo, pango, fuel, luku, maji, misc wabakiwa labda na 1m, hapo kama huna watoto, kama unao, wabakiwa na ndogo zaidi, sasa ndio kujiuliza magari 19 na hiyo nyumba aliyojenga amewezaje?! tena anaonekana kijana tu, sidhani kama ana zaidi ya 10 yrs TRA, jibu ni wizi, uwe ulaya, marekani au asia, dola huwa zinachunguza vipato vya watu..
Umeongea vyema na je angekuwa anamiliki nyumba 10 kama akina Fulani ingekuwa vipi. Kumiliki hayo magari kwa DSM tena kwa binti mtamu kama huyo ni kitu kidogo sana. I guess kuna mengi nyuma ya pazia hii kesi itakuwa kuna kigogo alitaka kula mzigo kagonga mwamba
 
..kesi kama hizi ni danganya Toto tu...wanaacha kuwakamata kina bashite wenye kuishi kwa dhulma na mali zisizoendena na kipato chake wananahaha na dagaa wadogo hawa....bashite anapora hadi Mali za matajiri mjini na kijumilikisha...waanze nae....
 
Tuache kuiba, tuache kufanya kazi kwa mazoea, tuache uvivu, tuache njia za mkato, tutumie vyeti vyetu halisi, tupiganie haki zetu kwenue huduma za afya, miundo mbinu, elimu, umeme, maji, ustawi wa jamii na kupiga kazi kwa maarifa na juhudi...
Ama sivyo ndio haya...
akili za kimaskini bhana,kwahiyo ukiwa mtumishi huwez kuwa na kaz nyingine ya kukuingizia hela? hakina mikopo?
ushamba
 
Back
Top Bottom