Ushabiki pembeni,Mr. Membe is far better than Mr. Kikwete

Nimekaa na kufikria sana,nikaangalia uwezo positive na madhaifu ya Kikwete na Membe na kuwalinganisha.
Nimeangalia kauli na matendo ya Benard Membe juu ya Uvamizi wa Libya, Mgogoro wa Malawi na Tanzania na pia Kupeleka Battalion Huko DRC kupambana na M23, nimegundua Membe ana misimamo madhubuti, sio muoga na Hamungunyi maneno kama Kikwete, Bora yeye anaweza kusimama na kutoa maamuzi waziwazi, Kikwete kashindwa kutatua hata Haki ya Kuchinja kati ya Waislamu na Wakristo!!!!
.
NB:Kumsifia huku hakunifanyi nisahau kuwa ana maadui waandishi wa habari na watakimbia nchi 2016!

What BS!

Yeye ni Amri Jeshi Mkuu kutangaza tutaritaliate against M23? Kweli unabase uwezo wa Membe over Kikwete kwa sababu ameshindwa kutoa maamuzi kuhusiana na nani achinje? Really?

What has Membe done for this country? Wilaya yake je?

our whole statement is pathetic really....my opinion.
 
Kweli ya Mungu wote wako sawa,
huyu wa sasa ni ndo chanzo cha uchochezi wa udini,
huyo mwenzie ni mbinafsi na mpenda kulipiza visasi,
hapo hakuna kitu na akipewa nchi itakuwa heri hata huyu aliyeko.
 
Membe huyu huyu anaebishana na M23 Twitter au kuna mwengine?

Mtu hana hata mantiki ya kujizuwia kuchokonoana na M23 Twitter useme ni bora?

Kweli wa kwanza wa tiro nae ni wa kwanza pia!
 
Kama tutafikia mahali pa kuongozwa tena na membe nitahama nchi. Hatukubali ombwe la uongozi kwa miaka 20 mfulilizo.
 
Nimekaa na kufikria sana,nikaangalia uwezo positive na madhaifu ya Kikwete na Membe na kuwalinganisha.
Nimeangalia kauli na matendo ya Benard Membe juu ya Uvamizi wa Libya, Mgogoro wa Malawi na Tanzania na pia Kupeleka Battalion Huko DRC kupambana na M23, nimegundua Membe ana misimamo madhubuti, sio muoga na Hamungunyi maneno kama Kikwete, Bora yeye anaweza kusimama na kutoa maamuzi waziwazi, Kikwete kashindwa kutatua hata Haki ya Kuchinja kati ya Waislamu na Wakristo!!!!
.
NB:Kumsifia huku hakunifanyi nisahau kuwa ana maadui waandishi wa habari na watakimbia nchi 2016!

Ukikuta watu wanabishania tope na kinyesi ni kipi bora ujue wana walakini!! Watu wanashindanisha vitu vya maana!
 
Membe ni kikwete na kikwete ni member......mie natamani nchi hii itawaliwe na mtu asiyekuwa na uhusiano na ccm kabisa
 
Kama Jamii forum wangekua ndio wachaguaji wa viongozi katika nchi hii nadhani tungepatiwa watu wa aina mbili kubwa:-
a)Wadini mbumbumbu
b)Wasiasa mbumbumbu

Kama ukisoma maoni ya wadau wengi wanaopitia maandiko na maoni yanayoandikwa humu inaonekana bado wanaotoa maoni ni hawa watu waliosoma kwa ajili ya kupasi mitihani ijapo kwa njia ovu na sio waliosoma kwa ajili ya kujua na kuweza kuendesha maisha yao.Unaposema fulani anafaa kwa nafasi fulani jiulize wewe hufai kwa nini?
 
Gamba ni gamba tu, liwe la kobe ni gamba. Liwe la samaki sato gamba ni gamba. Liwe la kenge au nyoka gamba ni gamba. Liwe la kasa au kobe gamba ni gamba tu hata ulipake mafuta litaendelea kuwa gamba tu. PEOPLE need CHADEMA ONLY.

MY friend, you are a fanatic! kuna hoja gani hapo?
 
Nimekaa na kufikria sana,nikaangalia uwezo positive na madhaifu ya Kikwete na Membe na kuwalinganisha.
Nimeangalia kauli na matendo ya Benard Membe juu ya Uvamizi wa Libya, Mgogoro wa Malawi na Tanzania na pia Kupeleka Battalion Huko DRC kupambana na M23, nimegundua Membe ana misimamo madhubuti, sio muoga na Hamungunyi maneno kama Kikwete, Bora yeye anaweza kusimama na kutoa maamuzi waziwazi, Kikwete kashindwa kutatua hata Haki ya Kuchinja kati ya Waislamu na Wakristo!!!!
.
NB:Kumsifia huku hakunifanyi nisahau kuwa ana maadui waandishi wa habari na watakimbia nchi 2016!

Thread hii watu watakuhisi wewe ni mkristo unamuandama Kikwete kwasababu ni Muislam, Propaganda za udini zimemsaidia sana kikwete ila nasikitika anaondoka anatuacha tukiwa tunauana huku yeye na familia yake wakipata ulinzi kama familia ya Rais mstaafu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom