tumtafute anae tuharibia timu yetu nzuri kama ni uongoz,makomandoo, wachezaji kulewa misifa zisizo za kwao kuliko hili na kuacha uzalendo na kutukana watani zetu. huu si utani bali ni kuwapa advantage wagen. tubadilikeeeeeeee
Nilianza kwenda mpirani nikiwa mdogo sana nikiwa na mzazi wangu.. Bahati nzuri wakati huo kulikuwa na ustaarabu kwenye viwanja vya mpira.. Leo Sithubutu kwenda na mtoto wangu mpirani.. Hayo matusi na ugomvi kwenye mpira utamueleweshaje mtoto kwamba ni sehemu ya burudani..? Haya ameona mashabiki wameshika chupi hadharani.. How'll u explain it to a 6 years old kwamba ile ni sehemu ya burudani..?
Sisi huku nje Ughaibuni tunaita hiyo ni kufuli isiyokuwa na ufunguo hahahahhahah nimecheka kweli leo kuona kufuli nyekundu wachaaa imenikumbusha mbali kweli..