Usha flirt naye sana

Hamna cha photoshop wala nini... Wazee tunajilia vyetu kilainiiii....... hebu na wewe Come This Way.....
Nimesha amua sikukaribii tena. Hata kati ya post yako na yangu nitakua nahakikisha kuna post ya mtu mngine. Ikiwezekana Deskmate or AshaDii!
 
Usijali,
Batani ya kukufanya uwe up ninayo
haya, haraka sana
Tangulia chumbani, naughty boy!
Bora umekuja kunichukua huku...mwali alikuwa ameshanifanya niwe down!!
 
Anapenda kutogwa sana
Namtoga kwa mapana bila marefu

Mchokozi sana huyu
Si unajua kitinda mimba walivyo
mpelekeeeee. amekaa kuchokozana tu!
ila namuombea usimtoge, unless unazungumzia kutoga pua.
 
Haya bana,mi naendelea kuwa mtazamaji!
 
toka tukukaribishe hapa umeamia kabisa mkuu

Smile,

Nimegundua kwamba "this is where i belong", yani kule jukwaa la siasa watu wana complicate sana maisha. Sasa hivi nataka kuishi maisha stress free ndio resolution yangu ya mwaka huu. Plus hapa watu wana roho nzuri yani nimebisha hodi sebuleni mkanikaribisha hadi chumbani....:tongue:
 
...naona mmeshaanza kuflirt hadi kwenye posts zenu sasa....!:lol:

..KITU KIGENI KABISA KWANGU NI KUMWONA REJAO NAE AKIFLIRT...!
 
...naona mmeshaanza kuflirt hadi kwenye posts zenu sasa....!:lol:

..KITU KIGENI KABISA KWANGU NI KUMWONA REJAO NAE AKIFLIRT...!
Na kubaya zaidi anaflirt na mjukuu wangu mrembo Smile.......... hatari sana hii!
 
umeona eeh hapa ni flirt free zone.24 hrs watu wapo kazini
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…