Zengwe lake na GSM ..walee Home shopping centre
Kapewa ujiko kujenga bakwata...
Nasikia hawa jamaa gsm wameleta IPHONE 6S kama 10,000 hivi basi kila TRA wakingia wanapewa...hizi sumu hata kina Wema wamehongwa kumuanganisha mkuu wa mkoa na gsm
Si ajabu akawa anamwamkia “shkamoo muheshimiwa baba,pole kwa safari",nini kilichompeleka airport yaani alimuamuru driver kuwasha V8 usiku kwenda kumpokea mtu mzima anaepajua anapoishi,hope alichukua bodaboda maana haingii akilini..aibu hii.

Hiyo fuselage mbona kama imebonyea hapo karibu na mlango? Wachunguzi muiangalie vema, manake stress za huko angani isije ikawa kama ndege za Comet! Bado tuna wahitaji watanzania wenzetu (na wasio waTz) wanaozitumia ndege hizo.
Sijawahi kufanya kazi serikalini lakini sijaona ubaya wa Mkuu wa Mkoa kwenda kumpokea rais.
Mkuu wa Mkoa ndiye mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama, kumpokea rais ni kumhakikishia usalama wake pia.