Usela sasa nauaga rasmi!

Usela sasa nauaga rasmi!

Huyu hayuko sawa, mlete kanisani nimuombee!
Mtumishi unaombea mpaka dental formula...!??
HOa1cy1WcAAJSWP.jpg
 
Wakuu Kijana wenu ndo kama mnavyomuona msicheze mbali na maneno ya busara na leso za kutosha,soon tu hapo...Depo mpya mi nipo na wewe mpaka ndoa ikuue.
 
Ikawe heri kwako
Habari mrembo…nilivyoina likes kutoka kwa ELIKANA halafu na ID yako inaonekana kwa paja la kichaga lililojazia nikakukumbuka sana.

HUWA NINAFUATILIA MADA ZAKO.
Kama ya yule jamaa aliyemwambia mzazi mwenzie kuwa “mtoto atakapofikisha miaka saba nitamtafuta” at the end hakumpata mtoto wala mama,wote walishakimbia dunia.

Anyway i missed you much mlimbwende,ni heri kuuona uwepo wa uhai wa Id yako.

MAMBO SWEETIELADY?
 
Back
Top Bottom