Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,016
- 142,839
Tukianza na kugomea chaguzi zote, itakuwa ni mwanzo mzuri sana.Namba 2 na 3 tayari , wengine unaowaona ni Chawa au wale watu wa misiba wanaojiita Mama ongea na Mwanao
Watanzania wengi ni wajinga kupita kiasi.Watanzania siyo wajinga kama unavyofikiria wewe kwa mawazo ya kijinga na yasiyo na mantiki wala mashiko. Ni nani na mtanzania yupi mwenye akili timamu na anayejitambua na anayefahamu na kutambua historia ya CHADEMA,matendo ya viongozi wa CHADEMA na kukosa kwao uzalendo kwa Taifa letu? Watanzania kwa mamilioni yao wanafahamu kuwa viongozi wa CHADEMA siku zote wamekuwa wakipigania maslahi yao.siki zote wamekuwa waumini wa kutafuta upenyo wa sheria au kanuni au mazingira yatakayowawezesha kupata nafasi za uongozi hasa ubunge ili wakapata pesa za kushibisha matumbo yao. Ni wapi katika muda wote umewahi kusikia viongozi wa CHADEMA wakikataa posho wakiwa bungeni au kusema wanaitisha maandamano ya kupinga posho za wabunge kipindi chote walipokuwa bungeni?
Kwanini hatujawahi kuona CHADEMA wakipinga kiinua mgongo kwa wabunge kisicho na kikokotoo kama ilivyo kwa watumishi wengine kama walimu na maaskari? CHADEMA hawajawahi kufanya haya kwa kuwa yalikuwa yanawanufaisha na kuwapa shibe ya matumbo yao na kutunisha akaunti zao kama ambavyo akina sugu wamekuwa wakijitapa kuwa na fedha nyingi kwenye akaunti zao benki.
Watanzania hawawezi kushiriki wala kuunga mkono huo ujinga uliouopendekeza kwa sababu CHADEMA hawana usafi wa kuwashawishi watanzania kufanya hayo. Watanzania wanaaelewa dhamira njema ya Rais wao na serikali yao katika kuwainua kiuchumi.wameona na kujionea namna ambavyo miradi mbalimbali imetekelezwa hapa nchini na kuwasogezea huduma karibu yao Watanzania wameona namna mabilioni ya fedha yalivyoelekezwa katika miradi mbalimbali iliyogusa maisha yao na kuleta matokeo bora na chanya.watanzania wanajionea namna Rais wao na serikali yao inavyopambana usiku na mchana kuboresha maisha yao kwa kuelekeza kila senti inayokusanywa katika shughuli zinazozalisha fursa mbalimbali za kiuchumi ikiwepo ajira kwa vijana,kuongezeka kwa mapato, kuchochea biashara na uwekezaji, kuongezeka kwa mzunguko wa pesa mitaani na mengine mengi tu.
Gomea wewe na wajinga wenzio lakini nchi itakwenda na mambo yatasonga kama kawaida tu.watanzania wanajionea juhudi,uchapa kazi na ufanisi wa serikali yao katika kuwaletea maendeleo na kuweka mazingira wezeshi kwa kila mtu kuweza kutimiza ndoto zake. Hakuna maendeleo yatakayokuja kwako ikiwa hutakunjua mikono yako na kufanya kazi kwa bidii, juhudi na maarifa na kujituma kwa nguvu zako zote.kazi ya serikali ni kuweka mazingira wezeshi kama ambavyo imekuwa ikifanya kwa sasa ,.jambo ambalo limepelekea Watanzania wengi kuiunga mkono serikali yao.Tukianza na kugomea chaguzi zote, itakuwa ni mwanzo mzuri sana.
Wewe ndiye mjinga usiyejitambua . Lakini Watanzania wanajielewa na ndio maana hawawezi kuunga ujinga huo ulioupendekeza. Mtanzania gani aunge mkono mawazo ya kijinga kama hayo na yale yaliyotolewa na CHADEMA wakati anajuwa ni wasaka tonge na walafi wa madaraka? Nani aunge mkono ujinga wa CHADEMA wa kutaka kwa kila jimbo kuwe na wabunge wawili?Watanzania wengi ni wajinga kupita kiasi.
Acha kujipa ukipofu wa akili na macho wewe. Watanzania wana imani kubwa na serikali yao ya CCM pamoja na viongozi wake.wataendelea kumiminika na kufurika kwa wingi katika mikutano na sherehe mbalimbali.hii ni kutokana na imani kubwa waliyonayo kwa Mheshimiwa Rais na serikali yake pamoja na chama cha Mapinduzi.hii inachagizwa na kuchochewa na kazi kubwa iliyofanywa na serikali katika kuwaletea maendeleo wananchi.watanzania wanaona namna serikali yao inavyowekeza mabilioni ya pesa katika miradi mbalimbali ya kimkakati na kiuchumi inayotoa na kuleta fursa mbalimbali.Namba 2 na 3 tayari , wengine unaowaona ni Chawa au wale watu wa misiba wanaojiita Mama ongea na Mwanao
Hukuna na hayupo wa kuwaungeni mkono maana ninyi mnachopigania ni maslahi yenu .mnachotaka ninyi ni upana wa njia itakayowawezesha kupata udiwani na ubunge na siyo maslahi ya wananchi.ninyi ni mafisi tu mnaotoka mate mdomoni kwa ajili ya kuvizia uongozi tu. Hamna uchungu wala kuguswa na maisha ya watanzania.ndio maana kwa ulafi wenu mmeona mpendekeze kuwe na wabunge wawili katika kila jimbo ili muwe na uhakika wa kupata chochote kile mkononi mwenu. Ninyi ni matapeli tu wa kisiasa.Huwezi ku negotiate na CCM hii mezani with smiling faces na vikombe vya kahawa ukafanikiwa! Kama Chadema wameamua wasirudi nyuma na wa mobilise wapenda mageuzi wote bila kujali tofauti za huko nyuma.
Mizizi ya CCM ni mizito kuikata kwa maneno maneno bila hatua kali za kisiasa.
Ujinga bado ni tatizo kubwa sana TanzaniaWatanzania wengi ni wajinga kupita kiasi.
Naunga mkono hojaTukianza na kugomea chaguzi zote, itakuwa ni mwanzo mzuri sana.
Ccm imeshakuwa mhimili wa 4 wa nchi, tena wenye mamlaka kuliko mihimili yote.Huwezi ku negotiate na CCM hii mezani with smiling faces na vikombe vya kahawa ukafanikiwa! Kama Chadema wameamua wasirudi nyuma na wa mobilise wapenda mageuzi wote bila kujali tofauti za huko nyuma.
Mizizi ya CCM ni mizito kuikata kwa maneno maneno bila hatua kali za kisiasa.
Utakuta wewe naye ni baba wa familia.Watanzania siyo wajinga kama unavyofikiria wewe kwa mawazo ya kijinga na yasiyo na mantiki wala mashiko. Ni nani na mtanzania yupi mwenye akili timamu na anayejitambua na anayefahamu na kutambua historia ya CHADEMA,matendo ya viongozi wa CHADEMA na kukosa kwao uzalendo kwa Taifa letu? Watanzania kwa mamilioni yao wanafahamu kuwa viongozi wa CHADEMA siku zote wamekuwa wakipigania maslahi yao.siki zote wamekuwa waumini wa kutafuta upenyo wa sheria au kanuni au mazingira yatakayowawezesha kupata nafasi za uongozi hasa ubunge ili wakapata pesa za kushibisha matumbo yao. Ni wapi katika muda wote umewahi kusikia viongozi wa CHADEMA wakikataa posho wakiwa bungeni au kusema wanaitisha maandamano ya kupinga posho za wabunge kipindi chote walipokuwa bungeni?
Kwanini hatujawahi kuona CHADEMA wakipinga kiinua mgongo kwa wabunge kisicho na kikokotoo kama ilivyo kwa watumishi wengine kama walimu na maaskari? CHADEMA hawajawahi kufanya haya kwa kuwa yalikuwa yanawanufaisha na kuwapa shibe ya matumbo yao na kutunisha akaunti zao kama ambavyo akina sugu wamekuwa wakijitapa kuwa na fedha nyingi kwenye akaunti zao benki.
Watanzania hawawezi kushiriki wala kuunga mkono huo ujinga uliouopendekeza kwa sababu CHADEMA hawana usafi wa kuwashawishi watanzania kufanya hayo. Watanzania wanaaelewa dhamira njema ya Rais wao na serikali yao katika kuwainua kiuchumi.wameona na kujionea namna ambavyo miradi mbalimbali imetekelezwa hapa nchini na kuwasogezea huduma karibu yao Watanzania wameona namna mabilioni ya fedha yalivyoelekezwa katika miradi mbalimbali iliyogusa maisha yao na kuleta matokeo bora na chanya.watanzania wanajionea namna Rais wao na serikali yao inavyopambana usiku na mchana kuboresha maisha yao kwa kuelekeza kila senti inayokusanywa katika shughuli zinazozalisha fursa mbalimbali za kiuchumi ikiwepo ajira kwa vijana,kuongezeka kwa mapato, kuchochea biashara na uwekezaji, kuongezeka kwa mzunguko wa pesa mitaani na mengine mengi tu.
CHADEMA wakishiriki tena chaguzi zozote kuanzia sasa kwenda mbele bila mabadiliko ya katiba na tume mpya huru ya uchaguzi, nitawaengua kabisa.Naunga mkono hoja
Kushiriki katika chaguzi ambazo sheria zake hazina maana ni kuwahadaa wananchi hata kama wewe ni chama cha upinzani
Na hii inawahisu Chadema na ACT,hawa wanaonekana wanafiki kwasababu wanajua kabisa kwamba sheria zilizopo zinawanyima ushindi kwa asilima 100 lakini bado wanashiriki kila mwaka.
Hii kwa kiasi kikubwa imefanya wananchi wavione vyama hivi vya upinzani viko kwa maslahi yao binafsi na si kwa ajili ya kutetea masilahi mapana ya taifa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Chadema bhana 😂