Nenda kwenye maduka ya fridge used, yapo mengi sana mjini hapa. Kuna moja la mtu ninayemfahamu lipo kariakoo opposite na bwm high school. Kajaribu pale.
Nb: ila usije jaribu nunua used washe. Utasumbuka sana, mpaka mtu kaitoa nyumbani kwake manaake haikuwa inaperform kama inavyostahili. Hizi vitu zina drums ambazo huwezi pata kokote kama replacement. Jipinde nunua mpya yenye 1yr waranty na 5yr parts waranty utafurahia. Mi ninayo yangu nilinunua miaka mitano iliyopita na hadi leo inafanya kazi sawa na haina shaka hata moja. Halaf bongo mafundi wa washers utawapata wapi ikishaanza kukusumbua? Na vifaa je?