Whats up gud pipo,
am new hia japo nimekuwa nikisoma posts zenu sana , mawazo yenu yamenikuza na kuipanua akikili yangu.plz naombeni ushirikiano wenu.
Baada ya utambulisho,ninaomba msaada wenu wa mawazo. Nahitaji used laptop ya bei nafuu. Ikiwa imported itakua bomba sana.
Shukrani.