Used: iPhone 4S 32 GB for sale

Used: iPhone 4S 32 GB for sale

Miki

Senior Member
Joined
Aug 16, 2007
Posts
190
Reaction score
66
Ni PM nikupatie mawasiliano zaidi; inapatikana Dodoma ktk hali nzuri kabisa
 
Duuh hiyo bei mkuu laki 9 4s used? Je ilivyokuwag mpya uliinunua bei gan? Maana laki 9 ni bei ya 5s mpyaa kwa hiyo bei we endelea kutumia tu hiyo simu
 
5S ya laki 9 itakuwa made in Mbagala
 
Mimi ninayo hapa 5s 16GB iko kama mpya haina mchubuko na ina kila kitu chake... Kama unaitaka leta 800k TZS Nauza sababu nataka ninunue iPhone 6.
 
Hadi sasa sijaona mtumiaji wa iOS device (apple products); bado nasubiri. Anayezijua, mtumiaji maridadi akiiona ataelewa tu.
 
Haya mkuu watu wanatumia mpaka iphone 6+ wanajua bei zake. We jina linakuzuzua hiyo simu ina zaidi ya miaka miwili sokoni katikati kuna matolea ya 5,5s, 6 na 6 plus sa hiyo 4s ikiuzwa hiyo bei hizo zinazofuata zitauzwaje.
 
Simu ya kizamani utamuuzia nani wewe ,yaani we primitive unayo mpaka leo,wewe auko na tofauti na anaesema leo anauza simen twanga pepeta
 
Haya mkuu watu wanatumia mpaka iphone 6+ wanajua bei zake. We jina linakuzuzua hiyo simu ina zaidi ya miaka miwili sokoni katikati kuna matolea ya 5,5s, 6 na 6 plus sa hiyo 4s ikiuzwa hiyo bei hizo zinazofuata zitauzwaje.

labda alipewa ya urith
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom