me nnayo mpya ntaumuuzia lak 7 tu
Me natafuta 5s 32 gb budget 400000 mwenye nayo tufanye biashara
Mimi ninayo hapa 5s 16GB iko kama mpya haina mchubuko na ina kila kitu chake... Kama unaitaka leta 800k TZS Nauza sababu nataka ninunue iPhone 6.
me nnayo mpya ntaumuuzia lak 7 tu