Used Carina au corolla

deezekiels

Member
Mar 20, 2014
42
3
Habari ndugu wana jf, Mimi Ni kijana mjasiria Mali nafanya shughuli zangu kanda ya ziwa. Nahitaji used corolla au Carina about 1999 au 2000 goli langu Ni 4mil, kwa alie kanda ya ziwa na yu tayari kukubali ofa yangu tuwasiliane 0767919520
 
habari yako mkuu mimi nina corolla e100 ila mimi nko dar...gsri zuri sana halina tatizo bei yake ni 3.5milion
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom