Used car from Japan

BIZNEM

Member
Oct 3, 2014
25
3
Serious buyers wa used car kutoka japan waweza nicheki tuna yard kubwa ya kila aina ya gari japan na tunasafirisha kwa order,Tafadhali cheki na mimi kwa namba 0719215909 kwa mahitaji ya gari.inachukua siku 30-40 kupata gari yako na malipo ni kwa installment hadi gari inafika inatakiwa uwe umemaliza malipo yote
 
Kutoa namba haitoshi, we details nyiingine, Je hiyo yard ipo hapa Bongo au Japan? Je mnatofauti gani na hao wengine akina Beforwad hadi mi nije kwako? Je wadhani kuchukua siku 30 hadi 40 ndo hoja hapo? Fafanua plz
 
Serious buyers wa used car kutoka japan waweza nicheki tuna yard kubwa ya kila aina ya gari japan na tunasafirisha kwa order,Tafadhali cheki na mimi kwa namba 0719215909 kwa mahitaji ya gari.inachukua siku 30-40 kupata gari yako na malipo ni kwa installment hadi gari inafika inatakiwa uwe umemaliza malipo yote

Jamaa tapeli
 
We una deal na issue za mamilioni ya pesa.
Hembu weka Website yenu na address zenu hapo ofisini kwenu watu waje.Full stop

More than that ni ujanja ujanja wa biashara kwa mfumo wa kizamani
 
Serious buyers wa used car kutoka japan waweza nicheki tuna yard kubwa ya kila aina ya gari japan na tunasafirisha kwa order,Tafadhali cheki na mimi kwa namba 0719215909 kwa mahitaji ya gari.inachukua siku 30-40 kupata gari yako na malipo ni kwa installment hadi gari inafika inatakiwa uwe umemaliza malipo yote

Nikiagiza mwenyewe ni 21days ila ww ni 40 days! Mmhh
 
:hand:Amerudi tena..huyu bwana aliwahi kuleta tangazo humu wadau wakauliza maswali ya msingi ili kujiondoa na hofu..hakujibu..sasa karudi kivingine tena! thread yake ilikua hii hapa:
Used car from Japan
 
Can you help to import used front half cut from japan,if so please contact me.My toyota raum new model recently got an accident and the front left part is damaged.looking forward to repair it now thanks.
 
Serious buyers wa used car kutoka japan waweza nicheki tuna yard kubwa ya kila aina ya gari japan na tunasafirisha kwa order,Tafadhali cheki na mimi kwa namba 0719215909 kwa mahitaji ya gari.inachukua siku 30-40 kupata gari yako na malipo ni kwa installment hadi gari inafika inatakiwa uwe umemaliza malipo yote
Embu niambie nyinyi mna faida gani mtu akiagiza kwenu ambazo hizo faida hazipo kwa mtu anaeagizia thru Autorec, SBT, Be Forward, etc??
Au nakupa hela wewe kisha unaweka commission na kuniagizia thru hao hao Autorec, SBT, Be Forward??
 
Back
Top Bottom