USD Kushuka Zaidi Dhidi Ya Tsh? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

USD Kushuka Zaidi Dhidi Ya Tsh?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Bado Niponipo, Jan 4, 2012.

 1. Bado Niponipo

  Bado Niponipo JF-Expert Member

  #1
  Jan 4, 2012
  Joined: Aug 15, 2008
  Messages: 680
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Wakuu heshima mbele sana.

  Wataalamu wa uchumi naombeni mtuambie kama usd itazidi kushuka dhidi ya tsh katika quarter hii ya kwanza ya mwaka, au kama itapanda tena?
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Jan 4, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mjasiliamali lazima utake risk so nunua tu dollar uziifazi,hapo feb dollar itapanda dhidi ya shilling kama ikishuka itakula kwako tu ndo ujasiliamali
   
 3. Bado Niponipo

  Bado Niponipo JF-Expert Member

  #3
  Jan 4, 2012
  Joined: Aug 15, 2008
  Messages: 680
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Asante mkuu, ngoja tusubiri wachumi watujuze kitaalamu zaidi.
   
Loading...